Online purchasing

Online purchasing

snayper

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
302
Reaction score
218
Habari zenu wakuu, Naomba kuuliza mwenye uelewa au aliewahi kufanya online purchasing za tronics kama Ps4, ps3, simu nk. kwa hawa watu wakenya wenye page Ig, hawa watu bei zao ni cheap sana ukilinganisha na za hapa kwetu, wanataka ulipe kwanza ndio ufanyiwe delivery, wanakwambia ukishalipia automatically unakuwa connected na GPS tracking link kwa ajiri ya trace package yako na unapata mzigo wako ndani ya 24hrs

Swali langu, je hawa watu ni kweli wanafanya deliveries au ni matapeli? Je kuna aliewahi kufanikiwa kupitia hawa watu? Kama kuna mtu anaefaham online purchasing yenye uhakika wa kupata mzigo wangu naomba anisaidie, nahitaji PS4
 
, Naomba kuuliza mwenye uelewa au aliewahi kufanya online purchasing za tronics kama Ps4, ps3, simu nk. kwa hawa watu wakenya wenye page Ig, hawa watu bei zao ni cheap sana ukilinganisha na za hapa kwetu, wanataka ulipe kwanza ndio ufanyiwe delivery, wanakwambia ukishalipia automatically unakuwa connected na GPS tracking link
Sio kweli, Na usijaribu kutuma fedha, utakuwa umetoa zawadi/sadaka.
 
Back
Top Bottom