Online learning zinatambulika Tanzania?

Online learning zinatambulika Tanzania?

msumeno

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2009
Posts
2,826
Reaction score
1,739
Waungwana kusoma na kufika Univeristy kwa mfumo halisi ni majaaliwa. Wengi wameunga unga kwa kuanzia QT na kujiendeleza mpaka kupata degrees huku wakiendelea kufanya kazi.

Sasa nauliza hizi degree za online serekali yetu adhim inazitambua? Hasa hizi za nje? Nimesema majaaliwa maana sio wote waliozaliwa na wazazi wenye uwezo au mwamko wa elimu.

Nawasilisha
 
Yes zinatambulika, Open university nayo ina offer courses kwa njia hiyo.
Kuhusu online learning institutions za nje, as long as hiko chuo kiko accredited then cheti/degree utakayopata itatambulika na serikali.
 
Siyo kila chuo kinatambulika kwa vile ni online hapana, ni vizuri ukaenda ubalozi husika ukauliza.
 
na sijui kama vyetu pia vinata,mbulika nje, kuna mwenye kujua accreditation institution yeyote afanye kushare hapa
 
Masomo ya Internetworking i.e CISCO yanatambulika/kubalika
 
Back
Top Bottom