Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,223
- 3,745
Kwanza hongera sana kwa kupata nafasi hiyo ya kuitwa interview.Habari za kazi wakuu,
Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online.
Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya moja kwa moja tukiwa tunaonana sijawahi.
Kwa yeyote aliyewahi anipe mwongozo maana nilipigiwa simu nikaambiwa niwe SMART kimwonekano sababu watahitaji kuniona.
Asanteni
Asante sana kwa ushauri mkuu. Lakini vipi nikitumia simu yangu ya mkononi? Nitajitahidi niweke simcard mpya ile ya zamani na switch off kupunguza kupigiwa simu kila maraKwanza hongera sana kwa kupata nafasi hiyo ya kuitwa interview.
Tips kwa online interview:
1.Cha muhimu kabisa kwa mazingira kama ya kwetu hapa Bongo ni kuhakikisha una INTERNET CONNECTIVITY ambayo ni reliable, ina speed ya kutosha, na isiyo na mawaa yoyote...!! Yaani fanya juu chini, uhakikishe siku hiyo una internet connectivity superb, na kwa vile umeshapewa hint kuwa uwe smart, maana yake most likely watataka u turn on video, ambayo huwa inataka mtandao ambao ni stable sana, sikushauri kabisa utumie hotrspot ya simu, kwani huwa haziko strong na huwa zinakata kwa mfano ukipigiwa simu. I hope una router/modem au una sehemu ambayo kuna wifi nzuri kama ofisi ambayo unaweza itumia. Hakuna kitu kibaya kama kuwa na online interview halafu uwe na mtandao mbovu, hawaskusikii vizuri, unakata kata- Halafu ukute mwenzako unaeshindania nae ana mtandao umenyooka, anasikika bila mawaa, hapo lazima uliwe kichwa. Hkikisha kuwa unatest mitambo kabla ya interview yenyewe, kwa kumpigia mshikaji wako kwa zoom kwa kutumia mtandao na laptop utakayotumia ili kutest kama ankusikia vizuri na kama mtandao uko poa.
2.Tafuta sehemu yenye ukimya na utulivu, isiyo na makelele-Hakuna kitu kibaya kama upo kwa interview online halafu zinasikika kelele za background kutoka upande wako.
3.Test vifaa vyako kabla ya interview-Hakikisha laptop utakayotumia umeshatest mic yake iko poa, na speaker zake ziko poa.... Ndio maana hapo juu nimesema test vifaa vyako kabisa kwa kufanya "mock" zoom call before the actual interview.
4.Vaa smart na ukae sehemu comfortable kwako kama vile upo kwenye actual interview.... Hii itakupa kujiamini na kuweza kuwa katika wasaa mzuri wa kuwa na interview nzuri.
Mlatino Zeshalo
Asante mkuuHakikisha tu una network fresh. Siwezi kukutrain jinsi ya kua smart, just hakikisha network yako iko vizuri.
Sijui unatumia simu gani, ila kwa uzoefu wangu network ya simu kwa zoom calls sio strong..... Hasa ukiwa unawasha na video, na kama hivyo wameshakwambia uwe smart maana yake most likely hao watataka u turn video on. Halafu huoni kama itakufanya usiwe comfortable? Maana watataka kukuona uso, so itabidi uishikilie simu mkononi kwenye angle fulani hivi huku unajibu maswali...!!Asante sana kwa ushauri mkuu. Lakini vipi nikitumia simu yangu ya mkononi? Nitajitahidi niweke simcard mpya ile ya zamani na switch off kupunguza kupigiwa simu kila mara
Sawa mkuu, ngoja nifanye namna nipate laptopSijui unatumia simu gani, ila kwa uzoefu wangu network ya simu kwa zoom calls sio strong..... Hasa ukiwa unawasha na video, na kama hivyo wameshakwambia uwe smart maana yake most likely hao watataka u turn video on. Halafu huoni kama itakufanya usiwe comoftable? Maana watataka kukuona uso, so itabidi uishikilie simu mkononi kwenye angle fulani hivi huku unajibu maswali...!!
Simu inawezekana.Sijui unatumia simu gani, ila kwa uzoefu wangu network ya simu kwa zoom calls sio strong..... Hasa ukiwa unawasha na video, na kama hivyo wameshakwambia uwe smart maana yake most likely hao watataka u turn video on. Halafu huoni kama itakufanya usiwe comfortable? Maana watataka kukuona uso, so itabidi uishikilie simu mkononi kwenye angle fulani hivi huku unajibu maswali...!!
Asante mkuu kama sitapata laptop nitatumia simu yangu kwasababu inauwezo wa 4G na mtandao ninaotumia ni vodacom.Simu inawezekana.
Strength ya network inakuja kutokana na service provider na uwezo wa device.
Kama simu ina uwezo wa 4g na service provider anaoffer huduma hiyo na eneo ulilopo halina changamoto za network na hauna laptop simu itakuokoa vizuri tu.
Ishu ni kublock all calls na texts before interview haijaanza ili isijekua upo katikati ya tukio inaingia simu.
Kama unahofia kutoonekana kama mdau anavyosema mpigie mtu uone. Kwa ninavyojua ni utaonekana vizuri tu labda kama kamera yako isiwe nzuri sana ila ni unaonekana vizuri tu.Asante mkuu kama sitapata laptop nitatumia simu yangu kwasababu inauwezo wa 4G na mtandao ninaotumia ni vodacom.
Camera bro hakikisha camera yako ipo vizuri yani clearHabari za kazi wakuu,
Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online.
Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya moja kwa moja tukiwa tunaonana sijawahi.
Kwa yeyote aliyewahi anipe mwongozo maana nilipigiwa simu nikaambiwa niwe SMART kimwonekano sababu watahitaji kuniona.
Asanteni