Online History materials- Form 3 au 4- Tanzania secondary school

Mwl.mbona umezunzia upande moja kuhusu the Colonisation of Africa?Because what I know is that there is two schools or camps that explains the Colonisation of Africa i.e Afrocentric(Marxist or Economist) and Eurocentric point of view.

Afrocentric views base on Economic grounds and Eurocentric base on Political,Humantarian and Psychological grounds.
UKO VIZURI SANA JAPO NLSOMA PCM NA HISTORY NLPIGA BANDA
EUROCENTRIC & AFROCENTRIC ZINAHUSIKA HAPO
 
Wadau, nabadilisha title, ili kwamba online material ziwe ni kwa ajili ya elimu ya sekondari. Siamini jamvi lote hili hakuna ambaye ana uzoefu wa kupata online materials ambazo zinaweza kumsaidia mwanafunzi wa sekondari... Hizi inaweza kuwa vitabu, sample essay, questions n.k.

Jamani wanajamvi kweli hakuna hatuna wazoefu wa masuala ya elimu ya sekondari??
MIMI NINAZO TENA ZIPO FULL SUMMERIZED KUANZIA KD3 HAD CHA4
KILA TOPIC NA MASWALI YAKE TENA YAKO VERY POSSIBLE
UKIPIGA TOPIC ZOTE NA MASWALI HUTOKUTA GENI KTK CHUMBA CHA MTIANI
MIMI HIZO NOTS NDO ZIMENIPA "A"
NA SIKUTAKA KUPITIA NOTS ZINGINE
 
MIMI NINAZO TENA ZIPO FULL SUMMERIZED KUANZIA KD3 HAD CHA4
KILA TOPIC NA MASWALI YAKE TENA YAKO VERY POSSIBLE
UKIPIGA TOPIC ZOTE NA MASWALI HUTOKUTA GENI KTK CHUMBA CHA MTIANI
MIMI HIZO NOTS NDO ZIMENIPA "A"
NA SIKUTAKA KUPITIA NOTS ZINGINE
ILA NI HARDCOPY
 
Wana jamvi natafuta materials za history , kwa ajili ya mtoto wa kidato cha tatu au nne, kama vile sample question, essays ambazo zinaweza kumsaidia mwanafunzi wa Tanzania kujiaandaa vizuri kwa mitihani yake. Najua wapo walimu wa tuition mbalimbali, lakini naamini Online is a big library and helpful source. naomba msaada
www.facebook.com//tzsecsc
Huu ndio msaada kwako
 
Back
Top Bottom