Wana jamvi natafuta materials za history , kwa ajili ya mtoto wa kidato cha tatu au nne, kama vile sample question, essays ambazo zinaweza kumsaidia mwanafunzi wa Tanzania kujiaandaa vizuri kwa mitihani yake. Najua wapo walimu wa tuition mbalimbali, lakini naamini Online is a big library and helpful source. naomba msaada