Online Examinations Platform

Online Examinations Platform

Wernery G Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
381
Reaction score
131
Habari wadau.

Kama Kuna yeyote mwenye platform ambayo shule inaweza kutumia kwa kutuma mitihani online kwa wanafunzi wake kipindi Cha likizo, tafadhali anijuze.

Cha msingi sana,
  • Mwanafunzi awe na uwezo wa kufanyia kwenye simu, iwe smartphone au buttons
  • Iwe na uwezo wa mwalimu kuandika mtihani wa wanafunzi kufanya online kwa kadiri ya darasa

Ahsante. 0657605875
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom