ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,970
- 2,184
Wakuu
Katika pita zangu mitandaoni, nimekutana na kitu kinaitwa "online course study" hapo ndipo nikaamua kufuatilia huu mfumo wa elimu niujue kiundani lakini nimeshindwa kuuelewa na kuniacha na maswali kadhaa
Huu mfumo unahadhi gani mbele ya ule mfumovuliozoeleka wa kwenda chuo moja kwa moja?
Nimeona wakihitaji wafanyiwe malipo kupitia visa, paypal nk kabla ya kuanza kozi husika, je huu mfumo hauwezi kujiingiza katika utapeli ukiwatumia hela?
Lakini pia nimeshindwa kuelewa yaani unafundishwa vipi na uelewe, utaratibu wao mzima wa kutoa somo uko vipi
Kwa wajuvi wa haya mambo tafadhari mnifumbue katika hili, huenda pia likasaidia wengi hapa jamvini