Online competition searching for miss JF 2011!

NN, mie sijataja mtu
unataka nipokee za uso?

Basi wewe ushampendekeza huyo
basi list inaanza kama ifuatavyo
1. Jmush1
2.
3.

Na wengine tajeni basi

Hands down, no ifs, ands, or buts about it, it's it's the incomparable jmushi1. The smartest man ever to ever join JF. If you don't believe me just ask him and he'll tell you himself.
 
Mwaka jana mlipewa zawadi. . . ?
somehow, not only for Christmas,
But all the long year through,
The joy that you give to others,
Is the joy that comes back to you.And the more you spend in blessing,
The poor and lonely and sad,
The more of your heart's possessing,
Returns to you glad.
 
Hili mimi nimelisema kwenye post yangu ya kwanza humu, kuwa siamini kuwa lipo hususan kwenye mambo yanayohusisha intellect ya hizo jinsia mbili
From Home to home,
and heart to heart,
from one place to another.
The warmth and joy of Christmas,
brings us closer to each other
 
Hands down, no ifs, ands, or buts about it, it's it's the incomparable jmushi1. The smartest man ever to ever join JF. If you don't believe me just ask him and he'll tell you himself.
May ur neighbours respect you,
Trouble neglect u,
The angels protect u
and Heaven accept u
Happy Christmas and Happy Holiday
 
Mwaka jana mlipewa zawadi. . . ?

Mimi nilishinda bana licha ya kuwekewa vikwazo na pingamizi kutoka kwa wanga na zawadi niliyoahidiwa sikupata. Ndiyo maana nasema ni upuuzi. Lakini naelewa pia this is for nothing else other than just for fun. It ain't that serious.
 
i smell anko lundenga over here...:shock:
in this X-mas,
In the daytime if sun shine so shall Ur expectations come true,
At night when moon comes out so shall U receive blesses,
then if rain fall so shall it going to carry all your problem away from U!
 
Mimi nilishinda bana licha ya kuwekewa vikwazo na pingamizi kutoka kwa wanga na zawadi niliyoahidiwa sikupata. Ndiyo maana nasema ni upuuzi. Lakini naelewa pia this for nothing else other than just for fun. It ain't that serious.
Kwahiyo wakakatumia kwenye mashindano yao bure?
 
Mi nakufagilia kweli nataka unyakue nakupigia kampeni ya kufa mtu.
()"""() ,*
( 'o' ) ,***
=(,,)=("')<-***
(""),,,("") "**
Roses 4 u...
MERRY CHRISTMAS to
U...
 
Mery xmass Smile
nakuona unajiandaa kwenda kuinjoy
kafurahie mwaya maisha ni haya haya
hatuishi mara mbili
blackbery inanisumbua sijaizoea bwana so nashindwa kuwajoin vizuri
 
May the good times and treasures of the present become the golden memories of tomorow.wish you lots of love,joy and happiness in this christmass
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…