Online Community-Online Radio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Online Community-Online Radio

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Chief Lugina, Sep 15, 2011.

 1. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna project ya online community siyo Social network... Hapa 2na intend kuweka huduma zote za kijamii,2mefanya modules kibao na sasa nataka kufunga online radio. Please mwenye desa naomba jinsi ya kufanya hii ki2 nimeshaenda google lakini cjaridhika kupunguza mda na nguvu anayejua plz naidia hii mambo!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Chief mimi sijui ila fafanua ulikuwa unataka software kama hizi. ?

  Mi nadhni ukichukua moja ya applicatin inayotumika utapata desa lake kwenye documenttion na mtndao . Wakati unasubiri watalaam fanyia majribio . Kuna site nimeoa hii sam ni maarufu sana so inawezekana ni nzuri.

  BTN hiyo project sound goood
   
 3. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Haina noma kaka,acha nimalizie paper then nita ku PM. Hata ule mradi ulio upropose hapa JF nita ku-update nimefikia wapi......! If u don' mind naomba no. yako I can learn more frm you maana next yr nina Final poject
   
Loading...