Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,702
- 35,757
- Thread starter
- #41
Ha haaa...yote kwa yote Okar martin na mwenzie ni mafundi sana, kuna ile anamwelekeza mzee kuchezea pad, mzee kichwa ngumu kumuelewa dogo, dogo si akamtia banzi la kisogo mzee..ha ha haaa
Bwana mjeshi na Mr beneficial wapo vzur pia, Jaymond some tyme anazingua ila yupo poa
Bwana mjeshi na Mr beneficial wapo vzur pia, Jaymond some tyme anazingua ila yupo poa