Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

Online Comedy bora kabisa kwa sasa hapa Bongo

Jaymond sometimes yes sometimes no...

Dullvan Ni Creative Ni fundi sema asipoangalia atabanduliwa

Clam tz anahitaji kuongeza juhudi.

Okay na Martin at least

Photogenic tz at least

Ramsonleetz Ni fundi sema mvivu kufanya kazi mpya..

Dalachaz Ni fundi sana sema sijui nyota au kisa afuati trend.

Mjeshi na bene creative wapo vzr

Sammie kioko from Kenya Ni nyoko.

Yycomedy at least.


Nawajua karibu wote aisee sema sina mda kuwaweka Hapa



hapo kwa dulvani mkuu umeniacha njia panda,,,,,,😱😱
 
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu

1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Babu K
5.Claim tz
6.Ebitoke
7.
8.
9.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
7.Jiwe
 
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu

1.Joti
2.Oka-Martin
3.Anko zumo &Mai zumo
3.Mr Beneficial & Bwana Mjeshi
4.Babu K
5.Claim tz
6.Ebitoke
7.
8.
9.
Kupitia hzi comedy sku yangu huwa inaenda mbashara sana
Huyo namba mbili yupo na mshkaj wake anaitwa Carpoza, wako vizur wakiwa wawili
 
Kuna anayeitwa NDUGUYAI:

Mbunge:- Mh Spika nusu ya Wabunge
humu ndani HAWANA AKILI

Spika:- Mh Mbunge futa kauli yako mara
moja

Mbunge:- Nafuta kauli Mh Spika, NUSU
WABUNGE HUMU NDANI WANA AKILI

Spika:- Hapo sawa endelea na hoja Mh
Mbunge

KWA HISANI YA Mshana Jr.
 
Kuna anayeitwa NDUGUYAI:

Mbunge:- Mh Spika nusu ya Wabunge
humu ndani HAWANA AKILI

Spika:- Mh Mbunge futa kauli yako mara
moja

Mbunge:- Nafuta kauli Mh Spika, NUSU
WABUNGE HUMU NDANI WANA AKILI

Spika:- Hapo sawa endelea na hoja Mh
Mbunge

KWA HISANI YA Mshana Jr.
 
1. Mizengwe
2. Mr beneficial na bwana mjeshi
3. Ili kundi nimelisahau jina ila kuna cha uroo na kazora na jamaa mmoja anajifanya yesu.
4. Masanja huyu ata kama anaongea vitu serious basi uwasilishaji wake lazime ujikute unacheka. Refer wakati magufuri amewaalika wasanii ikulu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Back
Top Bottom