MrProsecutor
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 280
- 275
Daka Ofisho. Huyu ni Fundi mwingine hatari sana.
3 vijimambo na jambo1. Mizengwe
2. Mr beneficial na bwana mjeshi
3. Ili kundi nimelisahau jina ila kuna cha uroo na kazora na jamaa mmoja anajifanya yesu.
4. Masanja huyu ata kama anaongea vitu serious basi uwasilishaji wake lazime ujikute unacheka. Refer wakati magufuri amewaalika wasanii ikulu.
Akina bwakilaSiwapendi wale wanaofanya comedy Kwa kupiga simu......nasema tena siwapendi
Hata mm ebitoke simuelew kbsHalafu sijui kwanini sina mzuka na Ebitoke
Hapana Mkuu....kuna wale anakuwa yupo kwenye gari hivi au popote ansjipigisha simu kama anaongea na MTU mwingine.Akina bwakila
Hii post inamhusu Claim tz na kuna jamaa mwngne pia ana hyo mambo..kwa kweli somtyme miyeyusho pakikosekana ubunifuHapana Mkuu....kuna wale anakuwa yupo kwenye gari hivi au popote ansjipigisha simu kama anaongea na MTU mwingine.
Mfano m1 yule jamaa Mpemba Wa yanga.
Sent from my H8402 using JamiiForums mobile app
Hivi Ebitoke huwa anachekesha nini

"Nikwambiee,yule demu wako mwenye manyonyo makubwa anaolewaa"Ha haaa...yote kwa yote Okar martin na mwenzie ni mafundi sana, kuna ile anamwelekeza mzee kuchezea pad, mzee kichwa ngumu kumuelewa dogo, dogo si akamtia banzi la kisogo mzee..ha ha haaa
Bwana mjeshi na Mr beneficial wapo vzur pia, Jaymond some tyme anazingua ila yupo poa


