Ongezeko la wanawake wenye vitambi

Tuacheni.. mbona nyie mmeanza kuwa na makalio makubwa sie hatusemi!
Anyway..tutafanya jitihada za kupunguza tumbo, ni ulaji mbovu tu hakuna zaidi.
 
hahahah mm ndio mana sitaki mambo kama haya kuonana na watu uje uniseme kama hivi
Don't say hivyo.
Love ni zaidi ya umbo ni zaidi ya chura..halafu labda vivulana ndiyo bado vina tabia ya kuja kutangaza humu nimekutana na fulani.

Tumeshakutana na mengi ila tupo kimya.
 
Don't say hivyo.
Love ni zaidi ya umbo ni zaidi ya chura..halafu labda vivulana ndiyo bado vina tabia ya kuja kutangaza humu nimekutana na fulani.

Tumeshakutana na mengi ila tupo kimya.
hahahhah mengi yapi hayo Daby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…