Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Niaje wana Jamvi?
Nakumbuka miaka ya nyuma tulizoea kuona wanaume ndo wana vitambi hasa wale wenye fedha japo wachache waliozoea shida nao walikua na vitambi. Ila sasa imekua tofauti na miaka ya hivi karibuni kwani kumekua na ongezeko la wanawake wa rika zote kuwa na vitambi.
Wanawake wengi siku hizi wanavitambi hadi wanapoteza mvuto. Sasa sijui chanzo cha hivi vitambi vyao ni kula kula sana chipsi yai, kunywa sana bia, wanatumia sana njia za uzazi wa mpango au kuridhika na maisha hasa ya kuhongwa?
Unakuta mdada kabinuka mbele na nyuma. Ebu wadada kujeni hapa mtupe siri ya hivyo vitambi vyenu jamani.