Ongezeko la wadada wanaotoboa pua

Embu acha wadada warembeke..gubu tu
 
Njoo kusini Huku wamwera,wamaraba wa masasi na wamakonde utaona mpk wengine tuko nao maofisini NI kawaida Sana..labda huko kwenu ndo ajabu btw me mwenyewe sipendi mke Wangu atoboe pua
Hayo makabila kiukweli kumpata mke ni kazi saana.hao wanawezana wenyewe na ndio maana wanatoboa pua,hakuna mwanamke wa maana anatoboa pua
 
Siku hizi matobo mengi ya masikio ndo habari ya mjini,lakini Pua ni kama fashion yake ishapita, zamani ndo ilikuwa inabamba sana!!!
Sijawahi kuona utofauti wa mwanamke alietoa matobo mengi masikio na mwenye kipini puani na mwenye tatoo!

Inshort kwangu hawa nawachukulia ni malaya wanaojiuza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cocastic hivi mbona hujaniambia kama umekutana na goroko kwenye daladala
 
Wanawake kila wanachofanya kina Kazi yake, we tafuta mmoja wapo approach atakuonesha Kazi ya hizo vitobo na hivyo vya kuvaa ikiwemo vipini kwenye ulimi, pua, na vikuku. Utakuja kunishukuru.
Mm siwezi kumshukuru mtu aliye toboa ulimi na pua na mashavu
 
Hayo makabila kiukweli kumpata mke ni kazi saana.hao wanawezana wenyewe na ndio maana wanatoboa pua,hakuna mwanamke wa maana anatoboa pua
Nashukuru Sana mkuu umekuwa very short and simple
 
Wengi ni wahudumu wa bar
Kuna jamaa wanapita kwenye ma bar kutoboa pua masikio na pua kwa bei nafuu sana
Bei imekaje na maumivu je .vip wanavifaa Kam za ganzi au kuzuia kuambukizana magonjwa au anawatoboa tu ilimradi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…