Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Tatizo uchumiHawaolewi kwa sababu mbili kubwa ya kwanza ni wanaanza mapenzi wakiwa na umri mdogo sana mtoto anaanza mapenzi na miaka 15 mpaka afikishe 22 huyo hafai anakua na rambo sababu ya mwisho ni Hali ngumu ya uchumi
Badili gia angani nenda kwa bi leilaDuuu tumetofautiana wakati Mimi nambembeleza Khantwe nimuoe kumbe wengine wanalilia wa kuwaoa.
Cc Khantwe
Tatizo hamtaki kuvumilia hali zetuTatizo wanaume hawataki kuoa
Babe yetu itabidi iwe mapemaaHahahaha eti hizi ni dharau sasa
Tunavumilia ila hamtuelewi tuTatizo hamtaki kuvumilia hali zetu
Na kuhusu kuwa na marambo vipi?Tatizo uchumi
Wakifika 30 wanakua desperateWakiwa katika peak hua wanaringa sana hawa viumbe.
Age 18_25 bado wana utelezi ule na naniii zao tight hua wanasumbua.
Watu wanaogopa kuzeeka na maufundi yaoHahahahhaa!
Ndio babe,mapemaa tu nakuweka ndani,uvumilie hali yangu ya uchumi mpaka jiwe atoke,ulevi wangu n.k[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi sina wasiwasi najua babe upo kwa ajili yangu[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hahah ASAPBabe yetu itabidi iwe mapemaa
Hiyo si inategemea ntu na ntu...ila hapo unakuta anachumbiwa na kilemutuz lazima apige chiniNa kuhusu kuwa na marambo vipi?
Mnataka mumkute mwanaume anakila kitu....sasa hao wapo wachacheTunavumilia ila hamtuelewi tu