Ongezeko la Recruiting Agencies

Ongezeko la Recruiting Agencies

ankol

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Posts
2,628
Reaction score
4,970
Habri wana Jamvii.

Siku za hii karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijikampuni vinavyotafutia watu ajira. Hivi unafikiri uwepo wa vijikampuni hivi unachangia tatizo la upungufu wa ajira ama la?Unafikiri vina faida kwa watafuta ajira ama ndio vinaongeza matatizo? Unafikiri tatizo la ukosefu wa ajira limekua mtaji kwa wengine na ndio sababu ya kila siku kuanzishwa hizi vitu? Unafikiri waajiri wengi ni waoga wa kumwajiri mfanyakazi direct mpaka wapitie kwa recr agencies? Mi najiulizaga maswali mengi sana kuhusu hawa watu. Hebu anaefahamu a share nami i deas kuhusu hili.
 
agencies zinafaida na hasara yake. Faida yake zinapunguza undugunization kwenye kupata ajira. Hasara yake ukionganishia kazi popote lazima wakukate mshahara wa kila mwenz tena unajikuta unapokea mshahara ndogo sana na unakuwa kama mtumwa wao. Mfano wanaofanya voda kupitia erolink ni majonz tu kazi kubwa mshahara mdogo. Agencies ni nzuri kwa fresh graduate kwa kupata expirience.
 
Habri wana Jamvii.

Siku za hii karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijikampuni vinavyotafutia watu ajira. Hivi unafikiri uwepo wa vijikampuni hivi unachangia tatizo la upungufu wa ajira ama la?Unafikiri vina faida kwa watafuta ajira ama ndio vinaongeza matatizo? Unafikiri tatizo la ukosefu wa ajira limekua mtaji kwa wengine na ndio sababu ya kila siku kuanzishwa hizi vitu? Unafikiri waajiri wengi ni waoga wa kumwajiri mfanyakazi direct mpaka wapitie kwa recr agencies? Mi najiulizaga maswali mengi sana kuhusu hawa watu. Hebu anaefahamu a share nami i deas kuhusu hili.

Unauliza maswali mengi sana kama mtihani?, wenye muda watakuja kukujibu
 
Back
Top Bottom