Ongezeko la mshahara 2014

Ongezeko la mshahara 2014

Gagurito

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Posts
5,600
Reaction score
811
kwa yeyote anayefahamu atujuze, July ndio hii.
 
For teachers kuanzia mwezi wa saba ongezeko lipo kama ifuatavyo;;
TGTS A1= 346000
TGTS B1= 394000
TGTS C1= 582500
TGTS D1= 639000
TGTS E1= 819000
TGTS F1=1053000
TGTS G1=1370000
TGTS H1=1784000
TGTS I1= 2465000
Hii imetoka alhamis iliyopita katika waraka mpya na itaanza kulipwa tar 1/7/2014.
Hii ni kutokana na punguzo la kodi la asilimia moja.
Mwenye taarifa za wizara zingine anaweza akafunguka pia.
 
kwa kawaida nyongeza ya mshahara inakuwa kwa asilimia. Na kwa mwaka huu waziri wa fedha akihitimisha hoja katika mswada wa fedha alisema mshahara umeongezeka kwa WASTANI wa 10.4%. Viwango ulivyoweka hapo ni feki kwa kuwa inaonekana kila daraja nyongeza imekuwa sh 50,000/=[Tazama waraka wa mwaka jana] kuna mtu kaitengeneza.
 
serikali hii haina jeuri ya kulipa nyongeza ya 10.4%
 
For teachers kuanzia mwezi wa saba ongezeko lipo kama ifuatavyo;;
TGTS A1= 346000
TGTS B1= 394000
TGTS C1= 582500
TGTS D1= 639000
TGTS E1= 819000
TGTS F1=1053000
TGTS G1=1370000
TGTS H1=1784000
TGTS I1= 2465000
Hii imetoka alhamis iliyopita katika waraka mpya na itaanza kulipwa tar 1/7/2014.
Hii ni kutokana na punguzo la kodi la asilimia moja.
Mwenye taarifa za wizara zingine anaweza akafunguka pia.

Hii ya mwaka jana
 
serikali hii haina jeuri ya kulipa nyongeza ya 10.4%

Tazama vizuri nieandika kwa WASTANI wa 10.4%. Tafsiri yake kuna waliopata zaidi ya hapo na wapo waliopata chini ya hapo. Sasa wakitafuta wastani wa wote ndio unapata hiyo.
 
Na mimi nimekuelewa hivyo hivyo mzee wetu wa hazina. Ila kwa serikali hii na kwa kuzingatia usanii waliowafanyia wafanyakazi mwaka uliopita naona tuwape subira tu. KILA kitu kitakuwa wazi muda si mrefu.
 
Na mimi nimekuelewa hivyo hivyo mzee wetu hazina. Ila kwa serikali hii na kwa kuzingatia usanii waliowafanyia wafanyakazi mwaka uliopita naona tuwape subira tu. KILA kitu kitakuwa wazi muda si mrefu.

Ni kweli tuvute subira. Bado siku si nyingi kitaeleweka. Pamoja mkuu.
 
For teachers kuanzia mwezi wa saba ongezeko lipo kama ifuatavyo;;
TGTS A1= 346000
TGTS B1= 394000
TGTS C1= 582500
TGTS D1= 639000
TGTS E1= 819000
TGTS F1=1053000
TGTS G1=1370000
TGTS H1=1784000
TGTS I1= 2465000
Hii imetoka alhamis iliyopita katika waraka mpya na itaanza kulipwa tar 1/7/2014.
Hii ni kutokana na punguzo la kodi la asilimia moja.
Mwenye taarifa za wizara zingine anaweza akafunguka pia.

Mkuu naomba uweke waraka huo kama unao
 
HIYO NI IDARA YA ELIMU, AFYA NI JUU YA HAPO, KADA NYINGINE NI CHINI YA HAPO, Hii ndio inanifanya nijute kwa nini nilifaulu f4 na f6. kuna watu walipata 4 form 4 wakaenda kusomea certificates za maswala ya afya sasa iv wako ngazi ya diploma nalingana nae mshahara. yeye alienda huko kwa 7b alifeli! maisha haya, thats y I dont intend to be employed beyond 40 yrs of age
 
HIYO NI IDARA YA ELIMU, AFYA NI JUU YA HAPO, KADA NYINGINE NI CHINI YA HAPO, Hii ndio inanifanya nijute kwa nini nilifaulu f4 na f6. kuna watu walipata 4 form 4 wakaenda kusomea certificates za maswala ya afya sasa iv wako ngazi ya diploma nalingana nae mshahara. yeye alienda huko kwa 7b alifeli! maisha haya, thats y I dont intend to be employed beyond 40 yrs of age[/QUOT nyie watoto wazazi wenu wanapojadili masula ya msingiuache kuongea pumba zenu wewe unakula bure kila kitu bure unaongea upuuzi tu hapa kama kazi unayofanya hailipi acha
 
Aaaaaah pole sana kaka kwann ujute tafuta fursa ya ziada hapo2 ulipo kaka kujiongezea kipato na hautajuta bro maana ya kufaulu ni kuwa na extra thinking kaka
 
For teachers kuanzia mwezi wa saba ongezeko lipo kama ifuatavyo;;
TGTS A1= 346000
TGTS B1= 394000
TGTS C1= 582500
TGTS D1= 639000
TGTS E1= 819000
TGTS F1=1053000
TGTS G1=1370000
TGTS H1=1784000
TGTS I1= 2465000
Hii imetoka alhamis iliyopita katika waraka mpya na itaanza kulipwa tar 1/7/2014.
Hii ni kutokana na punguzo la kodi la asilimia moja.
Mwenye taarifa za wizara zingine anaweza akafunguka pia.

Unaweza ukawa sahii
 
Tazama vizuri nieandika kwa WASTANI wa 10.4%. Tafsiri yake kuna waliopata zaidi ya hapo na wapo waliopata chini ya hapo. Sasa wakitafuta wastani wa wote ndio unapata hiyo.

Tatizo humu kuna vilaza, yaani hawajui hata maana ya neno wastani!
 
HIYO NI IDARA YA ELIMU, AFYA NI JUU YA HAPO, KADA NYINGINE NI CHINI YA HAPO, Hii ndio inanifanya nijute kwa nini nilifaulu f4 na f6. kuna watu walipata 4 form 4 wakaenda kusomea certificates za maswala ya afya sasa iv wako ngazi ya diploma nalingana nae mshahara. yeye alienda huko kwa 7b alifeli! maisha haya, thats y I dont intend to be employed beyond 40 yrs of age
kada ya Elimu wao ni TGST hapo hawapo japo nao wapo juu ya hiyo
 
Back
Top Bottom