Huwa na download mp 4 mkuu.
Huwa na download mp 4 mkuu.
Amini ni nacho kuambia mkuu me huwa nadownload sana nyimbo ndo maana hili nikaligundua na sitanii
Kwa hivyo me unaniweka kwenye kundi gani la kudownload mpaka napakuwa mzigo kwa mb nyingi.Mp4 pia inategemea ubora wa picha na sauti so utakuta kuna MP4 144P,240P,360P,420P,720P,1080P kadri unavyopanda. Kutoka 144 kwenda 1080 ndivyo ukubwa wa Mbs unapanda
kaka youtube wanaudhi sana siku hizi.
zamani ilikua by default wanaeka video ya quality ya 360p na inakua mp4.
siku hizi wanaaangalia speed yako halafu wanaeka video kulingana na speed. na wewe inaonesha speed yako ipo njema wameongeza hapo imekua 480p.
system hii inaboa zaidi unapokua na bandwitch kidogo maana mara moja bundle inaisha
Kama ulikuwepo vile yani hata nyimbo 5 kuzi kamilisha umesha labwa vya kutosha.
Mp4 pia inategemea ubora wa picha na sauti so utakuta kuna MP4 144P,240P,360P,420P,720P,1080P kadri unavyopanda. Kutoka 144 kwenda 1080 ndivyo ukubwa wa Mbs unapanda
Mp4 pia inategemea ubora wa picha na sauti so utakuta kuna MP4 144P,240P,360P,420P,720P,1080P kadri unavyopanda. Kutoka 144 kwenda 1080 ndivyo ukubwa wa Mbs unapanda
Kama ulikuwepo vile yani hata nyimbo 5 kuzi kamilisha umesha labwa vya kutosha.
Wamasai jamii ya Phlagiey hawawezi kubundi KRAPKA DAVINOOOOOTumia line ya vodacom na ikifika saa nne usiku jiunge na wajanja night offer kwa sh 500 tu unadownload utakavyo wewe mpaka saa 12 asubuh, speed ya pc yako ndiyo limit
Tumia line ya vodacom na ikifika saa nne usiku jiunge na wajanja night offer kwa sh 500 tu unadownload utakavyo wewe mpaka saa 12 asubuh, speed ya pc yako ndiyo limit