Ongeza siku za kuishi hap

Ongeza siku za kuishi hap

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,976
Reaction score
24,498
338b4e58e2e1cadc8b13d5c5c383b91f.jpg

Watu wanawaza mbali
 
ha ha ha haaa..!!
hilo nalo jipu
 
Tigo wasanii sana,utapeli mtupu.Mtawapata washamba washamba tuu wenye akili zetu kamwe mtandao wa watoto wa shule
 
Mpaka nilipe ndio nipate bure hahahahahaha kwel Bure alikufa siku nyng
 
Watu wa masoko wamekuwa sio wabunifu wa kutosha siku hizi
 
Hawa nisawa na Halotel
Wao Wapo kivingine
Wanakwambia ongeza Salio upate dak za bure

Ajabu ni kwamba ,MTU ana kifurushi cha wiki ,anaongeza dk kwa lengo la kuzuia dak zake zisi expire
Ukijiunga tu mfano Tsh2000
Wanakupa dak 20 siku 2 na unapo anza kupiga simu hazitumiki hizo za offer zinatumika zile za wiki
Baada ya siku 2 offer ina expire
Nimtindo mpya wa kuwa danganya watu
 
Afisa Masoko anayecheza na Emotional ideology za watanzania.
 
Back
Top Bottom