NAKAZIAusifanye uamuzi wa kuoa
Kama unaoa kwa ajili ya uzuri ni sahihiWanasema visit Rwanda before marriage.... Wasipuuzwe nao
Poa mkuu, tutajitahidi kutembea tujionee hizo dhahabu...Salaam wana MMU
Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi.
Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha.
Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa hizi as desk officer mjini, 24/7 unashughulika na matatizo ya watz yasiyoisha.
Mwishoni mwa mwaka Jana Kuna fursa ilijitokeza , nikapewa kuwa sehemu ya timu itakayotekeleza kazi hiyo mikoa kadhaa nchini, mjini na vijijini.
Exposure kubwa niliyokua nayo ni maisha ya mjini yaliyojas stress. Kila mtu kavurugwa na maisha na watu wamekaa kipigaji tu. Unakuta hata wapenzi wanaishi Kwa kuliana timing , ukizubaa unaopigwa tukio.
Kwa miezi michache nimekaa vijijini na miji midogo ukanda wa kati. Kuna exposure mpya nimepata hasa Kwa mabinti na wanawake wa kitanzania. Unakutana na mabinti wazuri , natural beauty, ukiongea nao wana maisha magumu sana, ila uzuri wao umefichwa kwenye tamaduni za kijijini. Cha ajabu wana mitazamo Chanya, na wala ugumu wa maisha haujafanikiwa kuondoa tabasamu lao.
Nilichojifunza, usifanye uamuzi wa kuoa kama hujatembea nje ya eneo lako . Toka nje, zunguka mikoa kadhaa, explore, utakutana na dhahabu ambazo ukiziosha, zitatoa nuru.
Kijana pokea salaam hizi kutoka Kwa mtembezi. Usiache kuzifanyia kazi. Wasalaam.
Looks like thatSisi tulio oa tayari imekula kwetu
All the bestPoa mkuu, tutajitahidi kutembea tujionee hizo dhahabu...
Nimeongelea aspect hiyo, ila package ya exposure in fursa nyingiKumbe unaongelea exposure ya mabinti na ndoa. Nikajua unawasanua Wana kihusu michingo ya bush huku
Labda uwe shoga. Hakuna kitu tamu kwenye maisha haya kama lovely marriageNAKAZIA
KATAA NDOA
NDOA NI UTUMWA
KAZI KWELI KWELI/JOBTRUETRUEl
Ee bhana....zungukazunguka utakutana hata na mume matema beach au kisibha
Gwa nkajah akaEe bhana....zungukazunguka utakutana hata na mume matema beach au kisibha
hazipo hizo siku hiziL
Labda uwe shoga. Hakuna kitu tamu kwenye maisha haya kama lovely marriage
Sawa cc wwngine tumeona wapangaji wenzetu na maisha yanasonga swaaafiSure100%
Labda wahutu,ila watutsi msijaribuWanasema visit Rwanda before marriage.... Wasipuuzwe nao
Fafanua kidogo hapo,naweza pata maarifa Toka Kwa hao watuKama unaoa kwa ajili ya uzuri ni sahihi
Lakini kama ni tabia wanyaru hawafai hata kidogo, acha waoane wao kwa wao
Wengi hufanya uamuzi conveniently , ila ungepata fursa ya ku explore ungekua na experience tofauti. Anyway enjoy the cake .Sawa cc wwngine tumeona wapangaji wenzetu na maisha yanasonga swaaafi