leipzig JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 2,766 Reaction score 1,714 Jan 12, 2014 #2 Sio kiingereza tu hata ukitaka kunena kwa lugha ni poa tu!!
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 13, 2014 #3 Tyta said: Click to expand... Au kuwa bubu!
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,156 Reaction score 13,267 Jan 13, 2014 #4 niliwahi kusikia dalili ya mtu anayeanza kulewa ataanza kuongea kwa sauti ya juu kuliko awali lugha itaanza kuooanda (udhungu) glass/chupa ataiweka kwa nguvu mezani akidhani meza iko karibu dada aliyemponda mwanzoni ataanza kumshika shika kama kuna muziki ataanza kujitikisa taratibu na baadaye kuamka kucheza usingizi kujisaidia ovyo matusi ...................
niliwahi kusikia dalili ya mtu anayeanza kulewa ataanza kuongea kwa sauti ya juu kuliko awali lugha itaanza kuooanda (udhungu) glass/chupa ataiweka kwa nguvu mezani akidhani meza iko karibu dada aliyemponda mwanzoni ataanza kumshika shika kama kuna muziki ataanza kujitikisa taratibu na baadaye kuamka kucheza usingizi kujisaidia ovyo matusi ...................