iyo ndo hali halisi ya maisha yake.kwaio watakao pata fursa kwakr wasishangae hilo,message derivered.
pia kwa wanawake wengi wapo hivyo maana wakipata vijisent ndo wanapgawa,wanakuwa wakali wa ajabu ajabu,
ukweli ndo huo
mkate msipake,mpake msikate,mtake msitake habari ndo hiyo women n girls