Ongea bure na Tigo saa 24!!bonge la ofa.Wahi haraka

Kama kuona acc MKombozi asilimia ni kubwa

Kwahiyo sisi wenye accounts NBC ambao juzi masalio yetu yalikuwa yanasoma 0 ndiyo tumetengwa? :becky: :becky: :becky:.

Kweli mwenye nacho ataongezewa, na asiyekuwa nacho hata kile kidogo anachodhani kuwa anacho atapokonywa.
 
Ashiki majinuni ndio nini mkuu?

Capture1.JPG Capture2.JPG
 
jamani vya bure hivi cjui.umnajuaga hawana huruma na wateja tutakatwa mpakaaaaaaaaaaaaaaaaaa.kwanza hawatuoni na hawatujui ukiwapigia namba 100 utackia wanataja jin moja tu "naitwa LUCY umepga namba ya wateja toka tiGO naomba nkusaidiea nini!" na unapga cmu toka wapi? wewe ndo unajmalza "mim naitwa MAHARAGE ROBO napga cmu toka UMASKININI naomba unicaidie kujiunga vifurushi ya bure".utaulzua jehe! una saliho.?cna.utambiwa ongezua salio na ujiunge na vifurushi vya bure.Ahsante kwa kuchagua tiGO.
 
Hata Ruge ilikua hivi!! Unaambiwa leta namba ya Account tukuingizie pesa unaanza kuhoji maswali Leo mwenzio Chenge kapewa vihera vya ugoro unaenda kuchonga bungeni..!!
 
Utapeli huu, kuna kitu nyuma ya pazia. one principle u shud always abide too, no free lunch, hakuna cha bure!
Hahahhahaaa nadhani hua hawasomi ule uzi wa Mpwa wangu tpaul hahahaa wangejua
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom