One Year Annivesary: Ripoti ya Kamati ya Bomani

Rev. Kishoka

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
4,526
1,529
Sumu zilizomwagwa na Barrick, zimeanza kufanya kazi, mapato na bei za madini zinatuchenga, bado tunasubiri win win situation tukikusanya 3%!

Lini ripoti ya Bomani itafanyiwa kazi?
 
Sumu zilizomwagwa na Barrick, zimeanza kufanya kazi, mapato na bei za madini zinatuchenga, bado tunasubiri win win situation tukikusanya 3%!

Lini ripoti ya Bomani itafanyiwa kazi?

Rev. Kishoka!

Heshima mbele kwa mbele. Hiyo ripoti ya Bomani ni Danganya Toto!! I once said Kikwete and Co. Ltd hayuko makini not serious at all hakuna tume yoyote aliyounda ikafanya any thing !! Hata ile ya Mh. Kipenka iliyomhusu Jambazi ANAYEVALIA sare za Police kwa jina la Zombe wapi ilitakiwa kupelekwa mahakamani ambapo hatimaye alipelekwa na kwa sababu he is a CCM celebrity kesi inaendeshwa fasta. Jiulize kuna kesi ngapi za mauaji ambazo watuhumuiwa wanaozea gerezani pasipo kusikilizwa!!

As long as wabia wa JMK WANASTAWI na kwamba aliyepitia mikataba yote mzee wa Vijisenti/Bajaji bado ana nguvu JMK hawezi kufanya lolote kwani itabidi ipitie kwa akina Mwanyika , Feleshi etc,,etc.. na kwa kuwa RA ni stakeholder NO.1 kwenye migodi akina Rev. Kishoka tutaishia kulia na ""wivu wetu wa kike" (Nukuu kutoka kwa maneno aliyotoa Benjamin William Mkapa) katika malumbano na watu wa Old Habari Corporation! Bila idhini ya RA jmk hafanyi kitu ndio maana walimvalia kwa maagizo ya JMK BEHIND the scenes akina Simba na Mkuchika njuga mzee wa kichaga alipotema cheche za fisadi papas

Birthday za kipuuzi za JMK ziko nyingi sio madini tu,,,TICTS...Dowans!!! EPA,,,Kiwira!!! Richmond!!! Walimu!!!!etc.etc.
 
Rev. Kishoka!

Heshima mbele kwa mbele. ...........................................................
.................................................................................................


Birthday za kipuuzi za JMK ziko nyingi sio madini tu,,,TICTS...Dowans!!! EPA,,,Kiwira!!! Richmond!!! Walimu!!!!etc.etc.
Though what Rev says is painfully true mind you that some if not all of these mentioned above by Mkereme were inherited by Kikwete. I think JK's "crime" is only not working on them - the madini drama, for instance, is a joke! Bomani's crew I believe was the 5th such committee in TZ.......and they are all gathering dust somewhere!
 
hivi kama nigeria wanaweza , kwanini sisi tushindwe?
Nigeria Tackles Oil And Gas Reform

Oxford Analytica, 06.08.09, 06:00 AM EDT
Complex regulatory reforms aim to bolster energy production and increase local participation.


With 184 trillion cubic feet of proven natural gas reserves, 36 billion barrels of proven oil reserves and significant deepwater production growth from finds such as Total's Akpo field, Nigeria remains one of the world's most promising energy markets. Although most attention focuses on the challenges posed by militant groups in the Niger Delta, the success or failure of the country's regulatory reform process could have an even greater impact on future energy production.
Popular discontent with the status quo largely focuses on recurrent fuel shortages and Nigeria's chronic inability to generate enough electricity to meet domestic demand. Persistent mismanagement and neglect have left the country's four domestic oil refineries regularly producing at less than 50% of their nominal capacity and forced Nigeria to import almost 85% of its refined petroleum products.
Complex reforms.In January 2009 the "Petroleum Industry Bill, 2009" was introduced in the Nigerian Senate. A daunting attempt to reform governance across the entire hydrocarbons sector, the bill contains 495 separate clauses. However, its principal aims fall into five categories:
--Clean slate. The Petroleum Industry Bill would repeal about 10 existing pieces of oil- and gas-related legislation, including the petroleum profits tax.
--NNPC break-up. The reform bill would break the Nigerian National Petroleum Corporation up into seven distinct entities. The existing NNPC is criticized for being a monolithic entity that confusingly combines policy, regulatory and commercial activities in one institution. The reforms would create a number of distinct regulatory agencies out of the current NNPC and also create a new national oil company called the National Petroleum Company of Nigeria (NAPCON), which would be a private commercial company. NAPCON would assume NNPC's shares in existing joint ventures with Shell, ExxonMobil ( XOM - news - people ), Chevron ( CVX - news - people ), Total and Eni. These partnerships will ultimately be reconstituted as incorporated joint ventures (IJVs). The IJVs will be financially autonomous entities able to secure their own funding directly from financial markets, thus relieving existing cash call pressures on the government.
--Revising concessions. The government seeks to revisit existing oil contracts, some of which were signed 10 or 20 years ago and which the government maintains are too favorable to the international oil companies. In seeking to preserve its generally investor-friendly image, the government argues that it is not abrogating existing contracts. Rather, in its view, these contracts all contain review provisions and the government is merely exercising those provisions
 
August,
Tunaweza lakini viongozi hawataki. Wewe unafikiri kweli JMK ana nia ya dhati ya kubadilisha mikataba ya madini ambayo alishiriki kuisaini?
 
Ni miaka saba sasa tokea ripoti ya Bomani ilipochapishwa.

Ripoti ilipendekeza kuwa Serikali iweke mikakati katika Sera ya Madini na kutunga au kurekebisha Sheria ya Madini kwa kuingiza vipengele vitakavyowezesha uanzishwaji na uimarishwaji wa shughuli za uchenjuaji na usafishaji wa madini hapa nchini.

Ripoti inapatikana: http://swahili.policyforum-tz.org/files/ripotiyabomani.pdf
 
Back
Top Bottom