One the Incredible a.k.a Kardinali has stuck in the 90s.

Mok
Moko hafanyi hiphop ngumu. Moko ni mghani mashairi. Ile anayo fanya sio hiphop.

Hiphop ngumu inafanywa na watu kama Lord Eyez ( On his Prime), Gwm et al.
 
Mok

Moko hafanyi hiphop ngumu. Moko ni mghani mashairi. Ile anayo fanya sio hiphop.

Hiphop ngumu inafanywa na watu kama Lord Eyez ( On his Prime), Gwm et al.
Una Ubungo mgumu sana, yaani hueleweki.
Hata hivyo mpaka leo bado nasikiliza midundo ya 9th wonder ,Bunduki midundo, Pala midundo, Kululete, ambayo ndiyo anayotembea nayo One.
Sikiliza unachopenda ila sio kushambulia mtu ili apende unachokipenda wewe. Mpaka leo Common ana staili yake ile ile sababu anapenda na anafurahia muziki wake na ana shabiki zake pia.
Niruhusu nikutukane
 
Natamani sana kuona UNO anafanya zaidi ya kina fid q na wengineo...

Haendi na wakati...its a shame..
 
Ukweli mtupu
 
Umetishaaaaaa
 
Wazee wa nusu nusu wamebaki robo lita, kuhusu kunusurika wasahau kabisa/

Unju bin unuki
 
Umeeleweka bro,mim ni mfuasi wa hip hop ngumu ambayo kwa tz hawa jamaa wa lunduno wanaifanya ila kwa dunia ya sasa kwa kweli watapata tabu Sana sio tz ata state kwa sasa sio kivile
 
Umeeleweka bro,mim ni mfuasi wa hip hop ngumu ambayo kwa tz hawa jamaa wa lunduno wanaifanya ila kwa dunia ya sasa kwa kweli watapata tabu Sana sio tz ata state kwa sasa sio kivile

Hapana mkuu

Hiphop ngumu ina niche ya watu wake!

Sio wengi kama unavyotaka,ila tupo na tunajitosheleza!

Hamna haja ya kuwa downplay!

Afterall Hiphop music kwa ujumla wake as a genre ni underground na wala sio mainstream!
 
ukiona unachukia life style ya mtu ambaye hana tuhuma zozote miongoni mwa ulizozitaja kisa tu unataka afanye utakavyo ww huna budi kupimwa mkojo
 
U U sound like u was in jail
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…