One night stand ...


Duh..nahisi kama moyo wangu unataka kusimama.
 
Sure....ndani ya mwaka huu nimeshaziona topic mbili zimazofanana na hii. Moja title yake ilikuwa hivihivi na ilianzishwa na Nyani Ngabu na ya pili kichwa kilikuwa tofauti lkn content ni hii hii

content hii hii? hm!

ina maana Eiyer ana ID mia?

yani hao hao wanawake wa eiyer ndio wanawake wa jamaa mwingine wa kabangaja?
 
Last edited by a moderator:
amini hivyo honey, ile barabara isiyo na lami inayoanzia airport ndo kwao Eiyer.

Mi kwetu Nyakato bibie..!

Nina mpango wa kumnunulia pikipiki ile ndeeeefu kwa ajili ya kumrahisishia usafiri! lol.

Hahahaha umenifurahisha sana duh kumbe paroko wa igombe.Aaah kumbe sie ni majirani
 
Last edited by a moderator:
Kama mtu unampenda mtu fulani ikatokea ukafanya one night stand na mwingine basi upendo kwa yule haukuwepo bali maigizo tu
 
huhuhuuu ni kweli imebadilika but it was from one night stand

ok nimekuelewa mkuu, one night ilipokukolea ikabid uendeleze manight night meng sasa sijui na huyo wa one night ya kwanza au
 
Hahahaha umenifurahisha sana duh kumbe paroko wa igombe.Aaah kumbe sie ni majirani

kwani mpishi wa ile kambi ya jeshi pale ni nani?

Jiongeze bwana, hatukukupeleka shule kucheza makopo ujue! ohoo..
 
Umeelewaje bazazi Excel?

Hivi nikikutongoza utakataa kweli?

Isiwe one night standing lakini, nataka four night sleeping!

Fanya maujanja acha kulala kwenye friji.. umekuwa nyanya wewe?
 

Mkuu, life is so complicated. Ikiwa by chance, mume wa huyo dada atachepuka na mke wa huyo mwanaume aliyemfurahisha kwenye hiyo one night stand, utashangaa kusikia more or less the same story. It seems outside their domain, people are capable of going an extra mile to perform kwenye "gem"
 

Hahahahaa..unakuta nimemkunja amekuwa kama kiwete..! ndo ghafla mme wake anatokea nadhani atazimia..hehe
 
Last edited by a moderator:
Hivi nikikutongoza utakataa kweli?

Isiwe one night standing lakini, nataka four night sleeping!

Fanya maujanja acha kulala kwenye friji.. umekuwa nyanya wewe?

Weee nipishe huko...imesikia nna shida na serengeti mimi? Mi nyanya ndio...una uhakika gani kwamba mi mtu?
 
Hahahahaa..unakuta nimemkunja amekuwa kama kiwete..! ndo ghafla mme wake anatokea nadhani atazimia..hehe

umeona mkuu, ndoani huwa wanapewa mambo kilaini sana... lengo kuu tu wazae...

huku nje tunawapiga mambo kama PORN STARS na pesa tunapewa kama kawa...


Halafu kuna mambo mengi tu yanachangia, tuvitambi mshenzi utu nato sio tuzuri.. dakika sifuri tu mtu umehema kama umekoswa mshale...

watatoroka sana ndoani kama ndo hivi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…