You see. I am actually against Gaddafi since day one. Cheki posts zangu hasa before the flyzone au cheki with my colleague Uwezo Tunao, Askari Kanzu, Tanmo, Nonda, etc at the International Forum. Na kama ningebaki na ile avatat ya Gadaffi usingesema mie mtanashati.
mi nashangaa wanasiasa hawalioni wakiona chama kimepoteza umaarufu wanahamia chama cha upinzani
that is it ndo mana tunarudi kulekule niliko sema hizo assumptions zaweza kua right or wrong...siku zinavyozidi kwenda tunabakilisha maoni juu ya wahusika... Bora umenijibu mapema for sasa ningechemka kwa the boss, hapa umenivua confidence zoote...lol
asha d
i am waiting.....
for a date or one night stand or both?
asha d
i am waiting.....
Ebanae mambo vipi mh? Naona unakolezea chumvi lol....!! Ngoja nitafute Super Injunction ili tusijadili baadhi ya topic zinazohatarisha watu kupata wachumba etc etc.for a date or one night stand or both?
Mtaanza kuwatisha watu waliokuwa na nia ya kutafuta wapenzi humu sasa.
Partner wanaume wa sikuhizi wanaangalia miaka basi....hata kikongwe wanakaba kabari unadhani mchezo!!
We bado saaaaana!
Umesahau anapenda ma semi trailer pia kama avatar ya cheusi lolThe Boss the best i can do today ni kua unapenda art hasa realistic... unapenda reading books... unapenda kuangalia movies
the boss the best i can do today ni kua unapenda art hasa realistic... Unapenda reading books... Unapenda kuangalia movies
Hahahahaha LoL! nani amekwambia Lizzy kama maini yanazeeka? hahahahah lol!
kweli kabisa msiwaogopeshe, na nyie vijana msiwadanganye wenzenu mkawapa machungu ya moyo, unashangaa tu mtu umezoea kumuona jamvini mara kaishia kabisa kumbe keshatendwa anaona jukwaa chungu lol!Mkuu kuna Wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanaJF kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
Wazee nao huwa wanavizia mitaani siku hizi.
Mtaanza kuwatisha watu waliokuwa na nia ya kutafuta wapenzi humu sasa.
Mkuu si unajua mambo ya samaki mmoja akioza...... Sasa baadhi hawakawii kutujumlisha wote kwenye kundi la wasaka one night stand lol...!!Mkuu kuna Wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanaJF kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
mkuu kuna wanawake wa maana sana hapa jamvini ambao wanafaa kabisa kuwa wapenzi, wachumba na hata wake. Sidhani kama hii thread inaweza kuwa chanzo cha kuwaogopesha wanajf kutafuta wenziwao waliopo hapa jamvini.
umesahau anapenda ma semi trailer pia kama avatar ya cheusi lol