One incredible vs stereo

Ila bongo bwana yaan wakali wa mistar ndo hawavumi.ila wabovu sasa
Sio bongo tu...hata
Kenya...watu kama kina khaligraph..oxido.. unawasikia kwa mbali.
Ukienda south...Rick ricky..L- tido.. casper.hawaskiki kama jamaa aka
Njoo state..brother ali..nas..Jay Z mwenyewe hasikiki kama drake na kina tyga...
Haya Cameron anasikika Stanley...

Ila mziki sio Ukali wa mistari tu brother kuna technik kibao za kuteka soko
 
"Upendo wangu utajiri mpaka uchoyo unanichukia chozi ufutwana ujasiri pindi moyo unapolia, kibogoyo mwenye mfupa siwezi tupa wacha nikale maana jua linaposhuka itanibidi nikale

Uchungu uzungu umeshika uswahili sio sifa tena tumeutema chini ya uvungu kuficha fikra za mtengwa

Siwezi kaba nitimize mahitaji vyakupita vingi vya msingi vitanifikisha....One (Salam) ft Shapseen
 
Hapa UNO, SONGA,STEREO then umekute na MBISHI.....hatari na nusu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom