One bride for five brothers ....

One bride for five brothers ....

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,506
Reaction score
18,872
Grooms' sex-rota in one-room shack

SNN1825IND---_1693549a.jpg

Clan ... Rajo Verma with Jay and, l-r, Sant Ram, Bajju, Gopal, Guddu and Dinesh.

A YOUNG mum told last night how she has five husbands - who are all BROTHERS.
Rajo Verma, 21, lives in a one-room shack with all five, sleeping with a different one each night on a rota.
The housewife has no idea which one is the father of her toddler son.
She said: "Initially it felt a bit awkward. But I don't favour one over the other."
Husband Guddu, 21 - the first to make her his bride - insisted: "We all have sex with her but I'm not jealous. We're one big happy family."

The couple got hitched in an arranged Hindu marriage four years ago and he remains her only official spouse.

SNN1825INDB---_1693548a.jpg

Lovenest ... the single-room shack where the five brothers have sex rota

But the custom in their village is she had to take as husbands his brothers Bajju, 32, Sant Ram, 28, Gopal, 26, and Dinesh - who married her last year when he turned 18.

Eldest brother Bajju said: "I consider her my wife and sleep with her like my brothers." Rajo cooks, cleans and looks after 18-month-old Jay while her hubbies go out to work in Dehradun, northern India.

She said of the ancient tradition, called polyandry: "My mother was also married to three brothers so when I got wed I knew I had to accept all of them as my husbands.

"I sleep with them in turn. We don't have beds, just lots of blankets on the floor. "I get a lot more attention and love than most wives."

SNN1825INDA-_1693547a.jpg

Housewife ... Rajo Verma cooks, cleans and brings up Jay while husbands work.
 
Daaaaaaaaaahhh maisha mengine siyo aiseeeee.
 
Amakweli mtoto wa nyoka ni nyoka, Mother three husbands yeye five husbands!!!!!!!!!!!!
 
Mwanammke hapo hana thamni hata ya ng'ombe anayelala nje

I see, "ufahamu" ni mbaya sijui

Nimesikia kutetemeka tumbo nikifikiria kama ingekuwa nie mie, lakini huyu dada anaonekana karidhika tu

Duh... Kwa wanaume hao kufanya hivo na bado wana amani na furaha, Wao wanapendana sana kuliko hata wanavyompenda huyo mwanamke.
 
Nimemtazama... Nimetazama sana hiyo picha na kujiuliza maswali mengi sana. Kwamba anampenda sana mume wake kiasi kwamba anaona alale na wote ili tu kumfurahisha mume wake? Nikajiuliza inakuwa siku tofauti ama wanawezas muingilia wote kwa siku moja? Kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuelewa huyo mwanamke na she seems so happy wala hajalazimishwa.

Hiyo picha inanisikitisha tu huyo mtoto... Kuwa awe na mama kama huyo. Kama ni wa kiume hawezi kuja heshimu mwanamke maishani mwake. So sad.
 
dah! Dunia ina mambo hii.
 
Atakuwa anawahudumia kwa zamu, ina maana kila siku lazima ahudumia mmoja, nawezaje siku 365 ukitoa moon days??

SO sad! Afu wahindi hawana heshima kwa mwanamke? Gang rapes, Acid attacks kwa wanawake ni nyingi sana huko

Jana nilikuwa naangalia BBC wame-mbaka mtalii kutoka Irish alikuwa na mmewe for camping huko India
Wanamesakwa hadi wamekamatwa, nadhani huyu wamefanya jitihada sababu hakuwa mwanamke wa kihindi

Unaweza ona yako makubwa.... Ngoja usikie ya wenzio, unabaki tu kuwa mpoleee... Lol

Atakuwa anawahudumia kwa zamu, ina maana kila siku lazima ahudumia mmoja, nawezaje siku 365 ukitoa moon days??

SO sad! Afu wahindi hawana heshima kwa mwanamke? Gang rapes, Acid attacks kwa wanawake ni nyingi sana huko

Jana nilikuwa naangalia BBC wame-mbaka mtalii kutoka Irish alikuwa na mmewe for camping huko India
Wanamesakwa hadi wamekamatwa, nadhani huyu wamefanya jitihada sababu hakuwa mwanamke wa kihindi

Kongosho mie nadhani ni hii familia tu... Maana maeneo hayo ingekuwa ni ruhusa basi isingekuwa ni habari ya familia moja. Wangetaja familia kadhaa!

Tunaweza tofautiana Wazungu, Waswahili, Waarabu na Wahindi katika mambo mengi saaaana! Lakini mwisho wa siku wanaume WOTE ikitokea wameridhia ku share huyo mwanake - basi huwa kama tu ni biashara yake (huyoi m/ke) ama kipozeo chao pale wanapokuwa na hamu kwa haraka haraka. Hiyo ni tamaduni zote!
 
Nimehisi pumzi kusimama! Hebu fikiria ghubu la waume watano!
 
Haya haya haya sasa wanawake wenye wivi mkujage huku muone Paloma kudja huku fasta
 
Last edited by a moderator:
Nimemtazama... Nimetazama sana hiyo picha na kujiuliza maswali mengi sana. Kwamba anampenda sana mume wake kiasi kwamba anaona alale na wote ili tu kumfurahisha mume wake? Nikajiuliza inakuwa siku tofauti ama wanawezas muingilia wote kwa siku moja? Kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuelewa huyo mwanamke na she seems so happy wala hajalazimishwa.

Hiyo picha inanisikitisha tu huyo mtoto... Kuwa awe na mama kama huyo. Kama ni wa kiume hawezi kuja heshimu mwanamke maishani mwake. So sad.

Unasahau kuwa hiyo ni mila na desturi yao ndio maana yeye haoni tatizo. Hivi ungezaliwa ukakuta kuwa na sisi tunafanya hivyo mpaka miaka hii unadhani ungekataa? Hivi hujui kuwa labda wao wanashangaa inakuwaje mwanamke mmoja kweli kabisa unaolewa na mume mmoja wakati mume ana kaka zake wazuri tu, kwanini wote wasikuoe wewe kupunguza gharama, na kuongeza upendo kwenye hiyo familia?!!
 
Ndukidi... Yawezekana kweli... Ila naamini kuwa ingekuwa ni mila na desturi hao wangekua mfano kati ya mifano kadhaa katika jamii.

Nimekuelewa thou katika suala la utamaduni. Ila ngumu kumeza.
 
Duh... Kwa wanaume hao kufanya hivo na bado wana amani na furaha, Wao wanapendana sana kuliko hata wanavyompenda huyo mwanamke.

Ingawa naamini maisha ya kutokuwa na wivu yapo.Lakini nadhani hao jamaa wana-take advantage ya kitu fulani toka kwa huyo mwanamke...yaani wanamdhalilisha..sidhani amekubali toka rohoni...labda ni umasikini ..I wish if I could save her..
 
Back
Top Bottom