One bride for five brothers ....

One bride for five brothers ....

Ndukidi... Yawezekana kweli... Ila naamini kuwa ingekuwa ni mila na desturi hao wangekua mfano kati ya mifano kadhaa katika jamii.

Nimekuelewa thou katika suala la utamaduni. Ila ngumu kumeza.
Ashadii ni ngumu kumeza kwa kuwa unajua na kufanya tofauti na wao. Si unaona yeye alikuta mamake kaolewa na waume watatu, ndio maana yeye hana taabu kuolewa na watano.
 
Ingawa naamini maisha ya kutokuwa na wivu yapo.Lakini nadhani hao jamaa wana-take advantage ya kitu fulani toka kwa huyo mwanamke...yaani wanamdhalilisha..sidhani amekubali toka rohoni...labda ni umasikini ..I wish if I could save her..

Nimefurahi saana kukuona Tulizo. Sasa kwa maneno haya hata kwa wewe usieamini in falling ni dhahiri kuwa imekuwa SO extreme! Ni one of those moments watamani uwe wamfahamu ili ujionee na uulize maswali kadhaa.

Tulizo.. I believe you and your loved ones wote wazima wa afya..
 
Ashadii ni ngumu kumeza kwa kuwa unajua na kufanya tofauti na wao. Si unaona yeye alikuwa mamake kaolewa na waume watatu, ndio maana yeye hana taabu kuolewa na watano.

Upo sawa kabisaa... I get your point of view. Asante.
 
Haya ndio mambo ya mapinduzi ya wanawake . Mh hapo usikute kati yao wengine ni mipunga, so wanafichiana siri!
 
Nimemtazama... Nimetazama sana hiyo picha na kujiuliza maswali mengi sana. Kwamba anampenda sana mume wake kiasi kwamba anaona alale na wote ili tu kumfurahisha mume wake? Nikajiuliza inakuwa siku tofauti ama wanawezas muingilia wote kwa siku moja? Kwa kweli nimeshindwa kabisa kumuelewa huyo mwanamke na she seems so happy wala hajalazimishwa.

Hiyo picha inanisikitisha tu huyo mtoto... Kuwa awe na mama kama huyo. Kama ni wa kiume hawezi kuja heshimu mwanamke maishani mwake. So sad.

It is fine as long as she is enjoying it and on her terms.
Just the same as a man with five wives.

And if they would all wish to sleep with her on the same night, and she is fine with it, then it is one big happy orgy.
Afadhali yake muwazi kuliko wamama wengine walioolewa ila wana treni mabehewa kibao ya siri.
 
It is fine as long as she is enjoying it and on her terms.
Just the same as a man with five wives.

And if they would all wish to sleep with her on the same night, and she is fine with it, then it is one big happy orgy.
Afadhali yake muwazi kuliko wamama wengine walioolewa ila wana treni mabehewa kibao ya siri.

Nimependa mchango wako.
 
bidada mwenyewe anafuraha kweli
si wangemnunulia hata nguo nzuri na akaishi
nyumba nzuri,midume mitano maisha yenyewe hayo lol!

 
[h=3]MWANAMKE MMOJA AOLEWA NA WANAUME WATANO WA FAMILIA MOJA[/h]




Rajo (mbele) akiwa na mwanaye na waume zake watano.
SNN1825INDB_1693548a.jpg
Rajo na familia yake wakiwa mbele ya kibanda chao chenye chumba kimoja.

MWANAMKE, Rajo Verma, 21, mkazi wa mjini Dehradun, India, anaishi na wanaume wake watano katika kibanda chenye chumba kimoja ambapo hulala na mwanamme mmoja kila usiku. Mwanamke huyo hana uhakika na baba wa mtoto wake mdogo wa kiume ambapo anasema:
“Mwanzoni niliona matatizo kuwahudumia wote katika kuwapa unyumba. Lakini sasa nawahudumia wote bila upendeleo.”
Mumewe mmoja aitwaye Guddu, 21, ambaye alikuwa wa kwanza kumwoa anasisitiza: “Wote tunafanya naye tendo la ndoa bila wivu. Sisi sote ni familia moja yenye furaha.
Jamaa huyo alimwoa Rajo miaka minne katika ndoa ya mila za Kihindu na ndiye mumewe halisi.
Lakini mila kijijini kwake zilimlazimu kuwachukua kaka za mumewe pia kama waume zake. Hao ni Bajju, 32, Sant Ram, 28, Gopal, 26, na Dinesh – ambaye alimwoa kwa njia hiyo ya kimila mwaka jana alipofikisha umri wa miaka 18.
Bajju ambaye ndiye mkubwa kuliko wote anasema: “Namchukulia kama mke wangu na ninalala naye kama wanavyofanya ndugu zangu.”
Rajo anafanya kazi zote za nyumbani na kumtunza mtoto wake aitwaye Jay, mwenye umri wa miezi 18, ambapo waume zake huenda kufanya kazi kila siku mjini Dehradun.
Mwanamke huyo anasema mama yake pia aliwahi kuolewa na ndugu watatu wa kiume, hivyo hilo si jambo la ajabu kwake.
“Ninalala nao kwa zamu. Hatuna vitanda chumbani bali tunatumia mablanketi yaliyotandikwa sakafuni. Watu hao hunijali na kunipenda zaidi, jambo ambalo wanawake wengi zaidi hawalipati katika ndoa zao,” anasema.
 
huu ni uvivu kwa wanaume au maana inaonyesha pamoja na kuwa wanaume wapo watano lakini ni familia maskini sana
 
Wahindi wanawake ndo wanaoa, so kwake ni kawaida tu

Mwanammke hapo hana thamni hata ya ng'ombe anayelala nje

I see, "ufahamu" ni mbaya sijui

Nimesikia kutetemeka tumbo nikifikiria kama ingekuwa nie mie, lakini huyu dada anaonekana karidhika tu
 
Mila ama tamaduni nyingine utazani sanaa za maigizo, Duh!!!!!
 
Back
Top Bottom