Nadhani inawezekana kwa kuattach, ikirahisishwa itakuwa vurugu humu page za mwanzo unakuta sticker tupu hoja ya maana unaipata page ya tanoMods & Melo tunaomba mtuwekee access ya kureply na stickers ๐น๐น
Mkuu hata mwandishi nguli wa falsafa, Shaaban Robert hili jambo alilitilia mkazo sana. Sikumbuki ni kitabu gani hasa lakini kuna mistari aliandika umuhimu wa mtu kwenda kujaribu bahati yake ugenini. Na mantiki ya hili jambo, siyo lazima uende sehemu yenye mafanikio kuliko uliyotoka. Kwa mfano mzungu anaweza kutoka Ulaya yenye maendeleo, akaja kijijini Tanzania na akapata mafanikio kuliko angebaki kwao.Ubaya wa comfort zone (ukanda wa faraja) ni kuwa inaua uwezo wako wa kukua, kujifunza, na kufikia mafanikio makubwa kwa kukufanya uridhike na hali ya sasa hata kama hapo ulipo si kilele cha ndoto zako.
Ingawa eneo hili linakupa hisia ya usalama, amani ya muda mfupi, na kutokuvurugwa, kisaikolojia na kiuhalisia lina madhara makubwa sana katika maisha yako ya baadae.
Ni wakati wa kujaribu Imani ya Buddha kwa sasa.Ubaya wa comfort zone (ukanda wa faraja) ni kuwa inaua uwezo wako wa kukua, kujifunza, na kufikia mafanikio makubwa kwa kukufanya uridhike na hali ya sasa hata kama hapo ulipo si kilele cha ndoto zako.
Ingawa eneo hili linakupa hisia ya usalama, amani ya muda mfupi, na kutokuvurugwa, kisaikolojia na kiuhalisia lina madhara makubwa sana katika maisha yako ya baadae.
Umeongea point!Wakati mwingine, kubaki sehemu moja ni kujitengenezea kaburi la kifikra na kiuchumi.
Kwenye maisha, kuna hatua inafika ambapo mazingira uliyopo yanakuwa hayana tena virutubisho vya kukulisha ili uongezeke.
Ili mmea ukue na kutanuka, lazima uhamishiwe kwenye udongo mpana zaidi.
Kadhalika na mwanadamu; ili ukue na kuongezeka thamani, lazima uwe na utayari wa kuondoka.
Kuondoka hapa hakumaanishi tu kukimbia mji au eneo la kijiografia, bali ni falsafa pana ya maisha:
1. Ondoka Kwenye Eneo la Mazoea (Comfort Zone)
- Maji yaliyotuama: Maji yakikaa sehemu moja bila kutiririka, huanza kutoa harufu na kuzalisha wadudu. Ndivyo ilivyo kwa akili yako usipojaribu vitu vipya.
- Changamoto mpya: Unapohama au kuanza kitu kipya, unalazimisha akili yako kuamka na kutafuta mbinu mpya za kupambana (survival mode). Hapo ndipo akili inapoongezeka.
2. Ondoka Kwenye Mazingira Yanayokuchukulia "Poa"
- Nabii kwao: Kuna usemi usemao "Nabii hapati heshima kwao." Ukiwa mazingira yale yale uliyokulia, watu wataendelea kukuona yule yule wa miaka kumi iliyopita, hata kama umepiga hatua kiasi gani.
- Kutafuta soko jipya: Unapoondoka na kwenda mahali ambapo hawajui historia yako ya nyuma, wanatathmini thamani uliyonayo sasa. Hapo ndipo fursa mpya na heshima kubwa vinapozalishwa.
3. Ondoka Kwenye "Marafiki na story" Zisizo na Tija
- Wavuta nyuma: Kuna watu ukiwa nao, mada zenu ni zile zile: kusengenya, umbea, kulalamikia maisha, na kukumbushia ujinga wa zamani.
- Tengeneza nafasi: Huwezi kupata marafiki wapya wenye maono makubwa kama nafasi zote kwenye maisha yako zimejaa watu wanaowaza "leo tutakunywa wapi" badala ya "kesho tutawekeza wapi."
4. Maumivu ya Kuondoka Ndio Gharama ya Ukuaji
- Kupoteza ili kupata: Kuondoka kunauma. Kuna uoga wa kuanza upya, kuna upweke wa mazingira makuu ya kigeni, na kuna kupoteza vitu vilivyokuwa vimezoeleka.
- Ukuaji wa kweli: Lakini kumbuka, hakuna kiwavi kinachochipuka kuwa kipepeo mzuri kikiwa kimebaki ndani ya kifuu chake. Lazima kipasue na kitoke nje.
Ujumbe mkuu: Usiogope kuanza upya mahali pengine, iwe ni biashara mpya, mji mpya, au mfumo mpya wa maisha. Thamani yako halisi itajulikana pale utakapothubutu kupiga hatua na kuacha yaliyopita nyuma. Ondoka, ukakue, ukaongezeke!
Kwa nani unamaanisha nn?? Hapa ni kwangu au kwako ??Yani unarudi saa moja kwa nani? Hahha lala hukohuko!๐ซข
Shaaban Robert alilitilia mkazo sana jambo hili katika kitabu chake maarufu cha Kusadikika, hususan kupitia safari ya mhusika Karama, na pia katika mashairi yake mbalimbali yanayohimiza kutafuta maarifa na ridhiki ugenini.Mkuu hata mwandishi nguli wa falsafa, Shaaban Robert hili jambo alilitilia mkazo sana. Sikumbuki ni kitabu gani hasa lakini kuna mistari aliandika umuhimu wa mtu kwenda kujaribu bahati yake ugenini. Na mantiki ya hili jambo, siyo lazima uende sehemu yenye mafanikio kuliko uliyotoka. Kwa mfano mzungu anaweza kutoka Ulaya yenye maendeleo, akaja kijijini Tanzania na akapata mafanikio kuliko angebaki kwao.
"Wanapenda lau nanyi mngekufuru kama walivyokufuru wao, ili muwe sawa......"Ondoka kwenye dini uliyorithishwa na wazazi wako.
Wakina nani ?"Wanapenda lau nanyi mngekufuru kama walivyokufuru wao, ili muwe sawa......"
Qur'an 4:89
ู ู ู ุฃุตุฏู ู ู ุงููู ุญุฏูุซุง
Kwa madogo kama nyie zinafaa kabisaMods & Melo tunaomba mtuwekee access ya kureply na stickers ๐น๐น
Indeed ๐In order to change you have to change.
Mmenogewq na michezo ya whatsapp sio?Mods & Melo tunaomba mtuwekee access ya kureply na stickers ๐น๐น