Alexido jz instagram JF-Expert Member Joined May 5, 2026 Posts 5,005 Reaction score 10,715 21 minutes ago #61 win-one said: sijaelewa maana yako Click to expand... Hapana nilitak n8mwambie mtoa mada
T Top gear JF-Expert Member Joined Sep 18, 2023 Posts 1,666 Reaction score 4,653 18 minutes ago #62 'If u can make it here,u can make it anywhere'
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,251 Reaction score 20,598 10 minutes ago #63 mshamba_hachekwi said: Mimi nimefika Dar sijamaliza hata mwaka nimepata fursa za kutosha. Click to expand... Mwaka Gani?
mshamba_hachekwi said: Mimi nimefika Dar sijamaliza hata mwaka nimepata fursa za kutosha. Click to expand... Mwaka Gani?
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,251 Reaction score 20,598 8 minutes ago #64 Natafuta Ajira said: Mkoani hakuna mzunguko wa hela. Huko nenda kalime au kama unepata kazi, lakini kwa mishe mishe tu za na pale kijana akomae hapa hapa mjini Click to expand... Hizi ndo kauli zimewalaza vijana wa dar
Natafuta Ajira said: Mkoani hakuna mzunguko wa hela. Huko nenda kalime au kama unepata kazi, lakini kwa mishe mishe tu za na pale kijana akomae hapa hapa mjini Click to expand... Hizi ndo kauli zimewalaza vijana wa dar
Bushmamy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2019 Posts 11,251 Reaction score 20,598 7 minutes ago #65 BIOTOXINS said: Kuna watu ukiwashauri tu waondoke Dar es Salaam, wanaweza kukasirika kiasi cha kukutishia maisha. Inaonekana Dar imekuwa si makazi tu, bali ni sehemu ya utambulisho na fahari kwa baadhi ya watu. Click to expand... Point
BIOTOXINS said: Kuna watu ukiwashauri tu waondoke Dar es Salaam, wanaweza kukasirika kiasi cha kukutishia maisha. Inaonekana Dar imekuwa si makazi tu, bali ni sehemu ya utambulisho na fahari kwa baadhi ya watu. Click to expand... Point