there was a one happy nation until when the authority invited a guest from .... mtamalizia wenyewe
From Rwanda(muhutu huyu)there was a one happy nation until when the authority invited a guest from .... mtamalizia wenyewe
Mgugu nimekumisEnzi za ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya
Maendeleo hayana chama
Siku ya kupewa tunzo na mimi bibi nitakuwepoShkamooo bibi
Eti nasikia babu yangu Asprin amegundua tiba ya korona ni K-vant?
Nasikia wazungu wanataka kumuingiza kwenye rekodi ya ginez kwa ugunduzi wake wa tiba ya ugonjwa unaowanyima usingizi.
Maendeleo hayana chama
Kulikuwa na rais anaeitwa jakaya mrisho kikwete na kinaja wake januar makamba walikuwa wakipendana sana
Mashalaa bibi una mapenzi kama vile umezaliwa Tanga, kumbe maskini ya Mungu umezaliwa kwa Mromboo
Kulikuwa na rais anaeitwa jakaya mrisho kikwete na kinaja wake januar makamba walikuwa wakipendana sana
NI wewe tu nimekuonyesha hii picha, ibaki kuwa siri yetu hata babu asijue 😂Mashalaa bibi una mapenzi kama vile umezaliwa Tanga, kumbe maskini ya Mungu umezaliwa kwa Mromboo
Maendeleo hayana chama
Babu Asprin siku hizi ana makengeza hata akiona atajua ni Joanah na Sanchez magoli wameselfikaNI wewe tu nimekuonyesha hii picha, ibaki kuwa siri yetu hata babu asijue [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji30][emoji30][emoji30]Shkamooo bibi
Eti nasikia babu Asprin amegundua tiba ya korona ni K-vant?
Nasikia wazungu wanataka kumuingiza kwenye rekodi ya ginez kwa ugunduzi wake wa tiba ya ugonjwa unaowanyima usingizi.
Maendeleo hayana chama