emmanuel nchimbi ajiuzulu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania (Kumbukizi) Nchimbi: Ninamsimamo na kama mnataka kunitimua nitumueni leo leo

    Kutoka Maktaba: Alisema Dkt. Emmanueli Nchimbi, punde baada ya kutangazwa kuwa Katika Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo mwezi Januari, 2024 Naona alichokisema kimetimia! Msimamo ndio silaha muhumi zaidi kwenye maisha Mzee wangu Soma Pia: Dkt. Emmannuel Nchimbi afukuzwa uanachama wa CCM
  2. Chakaza

    JamiiForums Tanzania VP Mstaafu Ambaye Sio Mwanachama wa CCM, Serikali na Raia Tuendelee Kumpa Stahili na Heshima zake Bila Ubaguzi

    Ndio, bwana Emanuel Nchimbi ameondoka madarakani kwa kujiuzulu na Katiba inampa haki ya kufanya hivyo na kustahili heshima, mafao na stahili zote kama VP mstaafu. Hayo ya kufukuzana CCM mtajua wenyewe na chama chenu. Nchimbi alikuwa makamu wa Rais hivyo ni mtumishi serikali lakini kwa jinsi...
  3. min -me

    JamiiForums Tanzania Once CCM always CCM, eti Nchimbi ni mwema!

    Ni lini sisi CHADEMA hatukuwalalamikia CCM kwenda kinyume na katiba toka enzi na enzi na Nchimbi akiwepo? Wamepotezwa watu kibao, kina Saanane wamepotea ila Nchimbi ziiiiiii. Upinzani umetekwa na upepo wa kipumbavu sana wa maslahi binafsi, na yenyewe kwa sababu ni viazi watupu yamejaa kama...
Back
Top Bottom