Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,097
- 41,716
okay sijui, at least Nimeona na wahusika wamenisimulia yanayowakuta.
Naona ni vema tujifunze hasa nyakati hizi za wanawake kuforce ndoa na kugombea wanaume.
Hii dhana ya kuchezewa ndo siielewagi. Kumchezea ndio nini. Kakubali kwa hiari yake. Tena unamwambia kabisa una mke lakini anakupa tu. Anakupa na mbinu mfanye nini mkeo asijue. Akiwd na ny.ege zake ye mwenyewe anakuita ukamhudumie. Ukimzuga huna hela ye anakwambia anazo. Ndo kumchezea huko? Utamchezeaje mtu mwenye hamu yake?
Acheni kuwa selfish, kuna wanawake kibao hawana wanaume na wao wanahitaji huduma zetu.
NB. Linapokuja swala la necha hakuna tofauti ya mnyama na binadamu. Wote tunakula, tunakunywa, tunakuny.a na tunajamiana. Samesame.
Hilo ni Tatizo la wasio maplayer, hawajui mwanamke anataka kuambiwa au kufanyiwa nini na ubaya ni kwamba hii taarifa muhimu wameijua maplayer.
Hakuna kilichonikuta, hayo yamewakuta ndugu zangu nlio nao ktk jamii. Sio lazima kitu kikukute eti ndo useme,kama unavoandika wewe vimekukuta pole na sio kila mtu amekutwa na anachozungumzia.Pole sana mdada najua yamekukuta mabwaku !!
Things shall never be the same !!
asante kwa mchango wako, tujifunze kutokana na makosa yakehuyo shoga ako nae akome.anavuna alichopanda!
Ss yy alilazimisha ndoa ya nn?
..unajua huwa tunasahau kuwa kila kitu kina gharama zake!lazima alipe gharama!
...ndoa ina misingi yake!ukienda kinyume lazima ukubali kulipa gharama!
...mshauri amrudie Mungu,afanye toba then aombe san tu kwaajili ya hiyo familia yake!
Ambao ni wachache saaaana ukilinganisha na utitiri mkuuubwa wa wanawake unaohitaji huduma ya wanaume.