Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Wanawake alwayz wanapenda Players. Ndio maana huyo dada habanduki kwa huyo jamaa.
Kwani huo umalay.a wanaume wanafanya na wanaume wenzao..??? Kama wanafanaya na wanawake basi wote hawabadiliki...
Inaonekana unapenda sana mambo ya mitandao ya ngono. Mi lengo langu lilikuwa upande wa wanawake tu, so huyo anayekupa game anafanya at her own risk.Kwanini tuact tuko single? Wanajua tuna wake na wengine wanawajua mpaka wake zetu lakini wanatupa gem kama kawaida. Tena kwa taarifa yako wanasema mme wa mtu mtamu sana
una mjali mpaka una hatarisha maisha yake, huo ukatili au upendo!!Mwanaume kuwa player haina maana hana mapenzi au kumjali mke wake. All the player dudes I know take great care of their wives. Kuoa sio lazima uwe zoba.
una mjali mpaka una hatarisha maisha yake, huo ukatili au upendo!!
Sasa tena wengine hamchagui mnatembea na wanawake vichaa wanaotaka kumpa stress mpk mkeo
ni watamu balaaaNa Hao Maplayer Ndo Wanaoongoza Kwa Kushobokewa Na Wasichana Tena Leo Mnalalamika!Makubwaa..!!
ni ufinyu wa fikra zenu, kwanin usimpendezeshe mkeo, una sababu ya kuwa na hawara? Unajua hawara wako ana wanaume wengine wangapi? Amekushilia bunduki ulale nae? Ila hamjui wanawake wengine wanasema why keep the pig just to get a single sausage ndo maana anakuwa na wanaume wa watu ili asiwe commited, utaponea wapi na ukimwi wewe. Unaweza kukuta naye hakutaki kwasababu we ni mchafu kama nguruwe so hajali kitu, zigo la mkewe hilo.Hao wanaotembea na wanawake vichaa wana matatizo. Pointi yangu ni kuwa mke ni mke tu. Nafasi ya mke ni ya juu sana hailinganishwi na hawara hata siku moja. Ujue player akiwa na hawara sehemu halafu apigiwe simu na mkewe, huchanganyikiwa. Wanawake wengi wanajua waume zao ni players ila wanawatimizia haja zao na kuwapenda kwa kweli na kuwaheshimu. Kwa hali ya sasa, mwanaume kutokuwa player ni ngumu sana kwani wadada wamekuwa wakijirahisisha sana. Haichukui msuli hata uwe uso wa mbuzi vipi, hawa dotcom ni kama wamesomea kutongoza wanaume.
Jamani kwa mwanamke anayependa maplayer It's her decision sijamkataza mtu kufanya lolote ila I was just warning my fellow women tujue mateso yanayoambatana na hao watu.
Inaonekana unapenda sana mambo ya mitandao ya ngono. Mi lengo langu lilikuwa upande wa wanawake tu, so huyo anayekupa game anafanya at her own risk.
wanawake wa jf wote ni watakatifu.
ndo mana ni mawazo yangu sio lazima myakubali, hakuna anayelazimisha waache kuwapenda hao maplayerPesandogo my dear you are fighting an uphill battle...wewe una WWII mossberg rifle, wenzio wana comanche gunships hovering above you...gist is you can't win...women like players, period.
The Boss nadhani majority wanabadilika. Ila si wote kama katabia ni ka kwenye damu, kamwe hawezi.wanawake ndo wanabadilika?
sawa, labda ungewashauri wanaotetea tabia hizo na hawataki kuacha hata kama wamewapata wanandoa wenzao....there are things, about men, u will never understand unless u were a man.
niliwahi kupenda sana somewhere, relationship haiku-workout and I turned to be a player, but always nikawa natamani nipate mtu ambae atanifanya niache hayo mambo, nikampata na nikaacha.
Wanawake wa JF wote ni watakatifu.
Mr Rocky huku vita zaendelea dhidi ya wanaume na wanawake, au wote hawakuona ule uzi wako?Kwani mama ako bikra?
Naye kundi Hilo hapo,labda kama alipata mimba kwa kunywa maji.
nioneshe mwanaume bikra sasa
ndo maana nimesema kwa wale niliowaona na kuwasikiliza wakinisimulia hayo ndivyo nlivochunguza na kuelewa. Tamthilia hazina uhusiano na lolote nlilosema mana hata mimi siziamini.Mi sizungumzii mambo ya mitandao nazungumzia mambo ya ukweli mtaani. Niko kwenye hii taasisi kwa miaka kumi, nimeona mengi. We unazungumza kwa uzoefu wa tamthilia au?