T twijuke JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 547 Reaction score 252 Jan 25, 2014 #1 Maajabu ya dunia hii, Attachments bwanamdogo+clip.jpg 32.6 KB · Views: 800
pmwasyoke Platinum Member Joined May 27, 2010 Posts 5,039 Reaction score 3,927 Jan 25, 2014 #2 Mkuu - nimetoka kapa. Ndio wanafanya nini?
Peter jaluo JF-Expert Member Joined Nov 10, 2013 Posts 1,750 Reaction score 253 Jan 25, 2014 #3 Dah kila mtu hatalala hapo
Kisima Platinum Member Joined Oct 8, 2010 Posts 4,804 Reaction score 6,609 Jan 25, 2014 #4 Hiyo ni kawaida sana ktk maziko ya muslims kistaarab, hiyo beam(nguzo ya zege) imejengewa kwenye mfuniko wa kaburi kuzuia udongo usimguse marehemu though kunakuwa na mwanandani pia.
Hiyo ni kawaida sana ktk maziko ya muslims kistaarab, hiyo beam(nguzo ya zege) imejengewa kwenye mfuniko wa kaburi kuzuia udongo usimguse marehemu though kunakuwa na mwanandani pia.
BHULULU JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 4,994 Reaction score 2,045 Jan 25, 2014 #5 Huu uzi watu watapita kama hawauoni.Chezeya kifo weye!
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Jan 25, 2014 #6 Maelezo mafupi sana sijaelewa unachotaka kutufikishia
N Ngekewa JF-Expert Member Joined Jul 8, 2008 Posts 7,705 Reaction score 1,288 Jan 25, 2014 #7 HP1 said: Maelezo mafupi sana sijaelewa unachotaka kutufikishia Click to expand... Makumbusho hayataki maelezo marefu!
HP1 said: Maelezo mafupi sana sijaelewa unachotaka kutufikishia Click to expand... Makumbusho hayataki maelezo marefu!
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Jan 26, 2014 #9 Peter jaluo said: Dah kila mtu hatalala hapo Click to expand... Kuna watakaoliwa na simba kaka na wengine watamezwa na samaki....
Peter jaluo said: Dah kila mtu hatalala hapo Click to expand... Kuna watakaoliwa na simba kaka na wengine watamezwa na samaki....
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Jan 26, 2014 #10 Kullu nafsi zaikat el maut.. Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums