macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,418
- 61,107
Naomba uniulizie unamjua macho_mdiliko halafu jibu niletee hapa kama ulivyofanya kwa maxHello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)!
Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena i za jukwaa lake. Mnamo mwaka 2016, Maxence Melo alikamatwa na kushtakiwa kwa mashtaka ya kuzuia upelelezi na kuchapisha taarifa za uwongo, lakini alifanikiwa kupata dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda mrefu.''
Hainijui mkuu. Imesema inajua public figures tu!Naomba uniulizie unamjua macho_mdiliko halafu jibu niletee hapa kama ulivyofanya kwa max
Swali: Unamjua Jemima Mrembo?Uliza kama wanamfahamu Jemima Mrembo mtetezi wa wanawake wenye tabia nzuri kwenye ndoa zao
Basi bado siyo hatari.Hainijui mkuu. Imesema inajua public figures tu!
Bado haijawahi hatari kwa sasa. Ndiyo maana wamesema isiendelezwe tena.Basi bado siyo hatari.
Kama ingekuwa hatari ilibidi hata ukiandika kama inamjua baba au mama yako iseme inawajua hapo ndo tungeogopa kwamba yeyote akitakiwa hakosekani.
Ndiyo. Kuna namna program inachakata habari kutoka kwenye internet, kuziunganisha na kuja na jibu.Me nilishauliza kama wanajua mazishi ya baba yangu, wakanipa mpaka picha aisee...
Nilichogundua taarifa nyingi wananunua kutoka google au wikipedia
Na kwakufanya hivyo tu! Ndipo anapozidi kupata taharifa zaidi! AI imepewa uwezo wa kujifunza yenyewe ni kama binadamu mtoto anakua akijifunza hili na lile, na kadiri tunavyo ilisha maswali nayo ndivyo inazidi kutafuta majibu na kuyahifadhi! Utofauti wake na binadamu wa kawaida ni kuota ndoto na nguvu ya kimaamuzi yani haiwezi kuwaza kama binadamu, bali ina pata reference kutoka kwenye data alizo meza[emoji848]Swali: Unamjua Jemima Mrembo?
Imenijibu: Samahani, sina taarifa za kutosha kumhusu Jemima Mrembo. Je, unaweza kunitajia zaidi kuhusu yeye ili niweze kukusaidia kwa ufanisi zaidi?
Mmeanza ku-tag mashost zenu, baada muda mfupi mnabadili muelekeo wa uzi kutoka kuwa mambo ya artificial intelligence na Kuwa kijiwe cha story zenu za mambo binafsi.Uliza kama wanamfahamu Jemima Mrembo mtetezi wa wanawake wenye tabia nzuri kwenye ndoa zao
Ni ipi Kati ya hizi??Hello members (wale ambao mlikuwa hamjui kama mimi)!
Niliposoma kuwa Elon Musk na wenzake wametafadhalisha kuwa Artificial Intelligence (kwa kifupi AI) isiendelezwe tena kwani ni hatari kwa binadamu sikutilia maanani sana mpaka nilipoanza kuitumia. Je, wewe umewahi kuchati nayo? Kama bado basi kuna hii inayoitwa ChartGPT! Ni free.
Unatakiwa tu uwe na email na ukishajisajili uko tayari kuuliza chochote. Inajua mpaka kiswahili. Inaijua mpaka Jamii Forums na zaidi inamjua mpaka Maxence Melo na mashtaka kukamatwa kwake.
Ona nimeuliza swali hili: ''Unamjua Maxence Melo wa jamii Forum?
Hili hapa ndiyo jibu iliyonipa ''Ndiyo, ninajua kuhusu Maxence Melo, ambaye ni mwanzilishi na mmiliki wa JamiiForums, jukwaa la mtandaoni la kijamii na habari lililopo nchini Tanzania. Maxence Melo amekuwa mstari wa mbele katika kukuza uhuru wa kujieleza na utetezi wa haki za kibinadamu nchini Tanzania, lakini pia amekuwa akikabiliana na changamoto za kisheria kutokana na shughuli za jukwaa lake. Mnamo mwaka 2016, Maxence Melo alikamatwa na kushtakiwa kwa mashtaka ya kuzuia upelelezi na kuchapisha taarifa za uwongo, lakini alifanikiwa kupata dhamana baada ya kuzuiliwa kwa muda mrefu.''