Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

Ona jinsi Magufuli alivyozomewa leo 22/10/2015

Kinachoshangaza na kufurahisha ni hii tabia ya baadhi ya wanaJF kuanza kutoa comment baada ya kusoma heading bila hata ya kuangalia video.

Hizi ni kama fikra za mob psychology!

Kazi kweli kweli!
 
Kinachoshangaza na kufurahisha ni hii tabia ya baadhi ya wanaJF kuanza kutoa comment baada ya kusoma heading bila hata ya kuangalia video.

Hizi ni kama fikra za mob psychology!

Kazi kweli kweli!
MsemaUkweli

Kweli Tupu: kwamba hajaona video clip (inaonesha Magufuli akishangiliwa ujio wake hiyo sehemu - Ona vioeperushi vya CCM), anatoa 'post' au 'comments' kinyume.

1) Ni hao hao walikuwa wanapiga deki barabara.

2) Ni hao hao watakao shinda vituoni wakinywa viroba

3) Hao hao watakaoshikana mashati na kutukana viongozi wao, baada ya kushindwa vibaya (si zaidi ya 15%).

Usiwe mmoja wao.

TAFAKARI CHUKUA HATU
 
Last edited by a moderator:
Yaani ni noma !!



Duuh, hawa watu wanaomshangilia hivi magufuli ni wa wapi hawa?. Ana nini cha ajabu huyu?. Yaani kuna watu wanatamani mfumo wa CCM uendelee kupitia magufuli? Nafikiri akili zao zimetoboka
 
Last edited by a moderator:
Mmegundua watu hawawezi kuangalia video mkisema magufuli ashangiliwa? 😜😜😜, hizo ndo dalili za kuchokwa
 
hiyo heading yako umewanyo..so kweli wakiwa!
watu walijianda kushangilia kuwa tingatinga kazomewa!
kuna tatizo ktk hii cohort ya watu wa mabadiliko, sijui wanawaza nini, lkn they are violent, hawana utu na siasa wao wanafanya uadui! I dont know nani amewapa haki ya kuona kuwa wao ndio wana uchungu zaidi na tanzania kuliko watu wengine!
 
Duuh, hawa watu wanaomshangilia hivi magufuli ni wa wapi hawa?. Ana nini cha ajabu huyu?. Yaani kuna watu wanatamani mfumo wa CCM uendelee kupitia magufuli? Nafikiri akili zao zimetoboka

Hawa watakuwa kutoka mkoa wa Jakaya. Wanafurahishwa na maendeleo yaliyoletwa na ccm.
 
halfu wanakuambia wanaenda kulinda kura mita 200, atakaye sikia na kutekeleza huo wito wa mbowe lazima awe juha.

uende kushindana na vyombo vya dola vya ulinzi na usalama uishie kupata kile. baada kiongozi kueleza nilibadilishia gia angani. la gia angani hatushirikishani, ila virungu na mabomu ya machozi, makamanda wanashirikishwa tena front line. hapo watawapata majuha tu.
Ina shangaza sana!

Kwa fikra hizi waingereza waliwahi kusema, half knowledge is worse than ignorance!

Nchi yetu ina vituko!
 
Yaani nimecheka kweli. Ili video za MCC zipate view nyingi inabidi uweke caption itayovutia watu kama vile Magufuli Azomewa...hahahaha dah
 
Kinachoshangaza na kufurahisha ni hii tabia ya baadhi ya wanaJF kuanza kutoa comment baada ya kusoma heading bila hata ya kuangalia video.

Hizi ni kama fikra za mob psychology!

Kazi kweli kweli!






Hapo wala hatuna haja ya kuangalia chochote tena kwa muda huu! Watanzania tayari tumeizika CCM. Jumapili imebaki kuhitimisha tu! RIP CCM!
 
Hapo wala hatuna haja ya kuangalia chochote tena kwa muda huu! Watanzania tayari tumeizika CCM. Jumapili imebaki kuhitimisha tu! RIP CCM!
Nani amekupa uwezo wa kuwaweka watanzania wote kwenye mwanvuli wa fikra zako?

Kwani hufahamu kama kura yako ni moja kwenye sanduku la kura?

Jisemee nafsi yako!
 
Hata siku moja huwezi kuzomewa kama unafanya mazuri ya kuigusa jamii...... CCM inatakiwa izomewe ili huo mfumo utoweke kabisa duniani...


Piga kura ukawa.


Lowassa juu juu juu zaidi
Hapa sio kuzomewa,ni kushangiliwa,nina hakika mleta uzi,hajui kutofautisha kushangiliwa na kuzomewa.
 
Hata mesi mchezaji bora wa dunia huzomewa
 
Back
Top Bottom