Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,148
- 48,389
Watanzania wengi hupenda kutumia vitu vilivyoongezewa thamani hata kama kwenye mazingira yetu vipo na hatutaki kuviongezea thamani.
Juisi ya mapera mtaani siyo maarufu Sana, lakini mapera hayo hayo yakiongezewa thamani na kutengenezewa juisi na kuitwa "Guava Juice" utaona jinsi juisi hiyo inavyogombaniwa mtaani.
Hapa chini angalia jinsi madafu yaliyoongezewa thamani yanavyovutia.
Hii ututakafarishe tuache kuchukulia mambo kikawaida.