ONA JINSI CCM WaLIVYOPIGWA MWANZA


K

KIGONSERA

Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
6
Likes
0
Points
0
Age
57
K

KIGONSERA

Member
Joined Dec 10, 2013
6 0 0
Ili kuendeleza hila zao za kuendelea kuitumia TAHLISO kama sehemu yao yaq kujificha na kuendeleza kukandamiza wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu nchini, serikalio ya CCM ilifanya kila juhudi kuhakikisha inashinda uchaguzi huo.. Kwanza viongozi tulioenda kwenye uchaguzi Mwanza tulifukuzwa chuo cha Bugando ambako ndipo tulikuwa tufanyie uchaguzi. Mkuu wa chuo aliruhusu kwa maandishi kufanyia kikao chao hapo lakini siku ya uchaguzi akatutimua eti agizo limetoka serikalini kuwa kuna fujon itatokea. tukaambiwa waende mwanza hotel.kufika mwanza hotel tukakuta ukumbi upo tayari na umeshalipiwa kila kitu, tulipouliza nani kalipia tukaambiwa ni ofisi ya mkuu wa mkoa.Lakini japo ukumbi ulikuwa tayari tena umepambwa vizuri ukitusubiri bado hatukuruhusiwa kuingia tukaachwa nje lengo likiwa ni kuleta askari waje kutukamata kwa kufanya kusanyiko lisilo halali.Tukashtukia hiyo mbinu tukaenda kutafuta hoteli nyingine iitwayo Annex. Mara mkuu wa mkoa wa Dar Bw.Mecky Sadick akaja pale m,wanza hotel akapitiliza hadi ndani bila kusema nasi.Baadae Chakushemeire mwenyekiti mstaafu, na Malima mwenyekiti wa senate wakaitwa ambapo inadaiwa walipewa mil.10 kuhakikisha CCM wanashinda.Kabla Polisi hawajaja kutufanyia fujo tukaondoka pale mwanza hotel kwenda Annex.kufika Annex tukakodi ukumbi na kuendelea na kikao.Wakaja watu tusiowafahamu wanajiita wanafunzi wa IFM wakakaa. Muda wa uchaguzi ulipofika wakaanza fujo, mara hakuna demokrasia, mara wakaanza kupiga mateke masanduku ya kura. tukawakamata na kuwapeleka polisi lakini waliachiwa baada ya nusu saa na kurudi tena ukumbini lakini tuliwadhibiti.CCM walikuwa wakiongozwa na Ndubiagai na Makonda walikua wamepanga safu zao za mashambulizi wakianza na mwenyekiti awe Nakarungu wa Mzumbe, ambaye ni kundi la masalia, Katibu awe Mcheshi wa SAUTambaye alikuwa CHADEMA lakini amehamia CCM majuzi.Lakini tukakomaa kuhakikisha haki inapatikana na hadi mwisho mshindi akawa nia Mdede wa CUHAS. Ikumbukwe huyu Mdede ni CHADEMA percel na hata kampeni zake alipigiwa na makamanda wa chadema kutoka matawi mbalimbali mwanza na katibu mwenezi wa chadema kata ya butimba ndio mwenyekiti wa fund rising. pia huyu Mdede ndiye aliyetoa tamko la kupinga mbinu za TAHLISO kumtengenezea njia January Makamba. Mdede na mwenzake aitwaye Luhigo wa SFUCHAS walitoa tamko kupitia SUSAUT kulaani tamko la TAHLISO kumuunga mkono Makamba.Hivyo enzi za TAHLISO kutumika zimefika mwisho na sasa ni kazi tu.Poleni CCM kwa kuchezewa faulo.People'ssssss
 
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2008
Messages
2,720
Likes
36
Points
145
M

Mundu

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2008
2,720 36 145
Mkuu, ujumbe wako unaweza kuwa mzuri, lakini maelezo haya hujayaweka vyema ili wenzako tujisomee kwa raha zetu.

Hii paragraph imekuwa kubwa sana. Tafadhali i edit.
 
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2010
Messages
21,527
Likes
16,321
Points
280
jogi

jogi

JF-Expert Member
Joined Sep 25, 2010
21,527 16,321 280
mlikuwa mnachagua mwenyekiti pekee au na viongozi wengine waandamizi.
 
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2012
Messages
5,382
Likes
43
Points
135
Communist

Communist

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2012
5,382 43 135
Raha kwa nyakarungu, kila mahali mkongoto.
 

Forum statistics

Threads 1,273,092
Members 490,268
Posts 30,471,083