Ona faceboook anavyokimbizwa...

Ona faceboook anavyokimbizwa...

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
547
428.gif

​
 
Asijeanguka wakamtimba(wakamkanyaga) na vifaru
 
Hee alishindwa kununua hata bajaji ona sasa yanata kukushinda
 
kufikia 2016 mwishoni G+ watakuwa na users zaidi ya Facebook. Kama unavyojua 90% ya mapato ya facebook yanatokana na adverts, miezi kumi na mbili ijayo 53% ya digital marketers wataamia G+.

kwa hiyo mtoa mada hadanganyi.
source:huffingtonpost
kim garst, Social media and brand strategist, [h=1]Social Media Marketing World 2014 - 5 Trends You want to Jump on NOW![/h]
 
Ooyooo hii kwa watoto wa kizungu watakuwa wanaipenda hii picha lakini kwa watoto wa kibantu NO labda ni dona na mandondo na kipande cha nguru na hapo ni kitumbo juu
 
Baiskeli ndogo inakimbia hivyo, je ikikua?
 
Nazzni aliiona mmiliki wa fb ndo maana akaona aongeze watsaapp!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom