Ona Dogo aliesusa Ziwa la Mama Yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ona Dogo aliesusa Ziwa la Mama Yake

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kivumah, Nov 7, 2011.

 1. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  "Ziwa la Mama sio tamu kama la Ng'ombe bhanaaaa"
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Huyu Mtoto atakuwa balaa hadi ktk kunyonya mambo yetu yalee.
   
 3. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  dogo puliza,usiogope puliza. Nalog off
   
 4. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wa apate minyoo na aharishe ndio atajua.
   
 5. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  umasaini hii kitu ni normal sana na wala haugui mtu milele
   
 6. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Umeona eeh. Dogo atatisha
   
 7. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..haha hhhaa. Washawasha
   
 8. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..Mkuu ushawahi kuishi kijijini?, hayo ndo maisha halisi ya Bush, hapo hakuna kuugua milele.
   
 9. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,140
  Trophy Points: 280
  Kwanini augue? mbona ndama hachemshiwi hayo maziwa na wala hajawahi kuugua?? Si unamuiona Diogo fulll experience, hata shingo haiumuumi kwa kuvuta nyonyo, halafu dogo ana afya ya kutosha kabisa.
   
 10. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  Huyu ng'ombe ugonjwa wowote wa kuambukiza kama upo, huyo dogo lazima aurithi. Well, zamani kufanya vile ilikuwa sio tatizo. Ila sasa tumeanza kuelimika, kwanini mtu anafanya mambo yenye hatari pasipo kuwa na sababu?
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  si umemuona dogo jinsi anavyopuliza
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Hiyo ndo yenyewe....
  Hapa malaria sijui makitu gani, sijui net nayasikia kwenye hotuba ya M.kwere ya kila baada ya miezi mitano.....ile ya kila mwezi hivi bado ipo?
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hataki kitu kilichochakachuliwa hata kidogo
   
 14. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Akiibuka na Tuberculosis hapo jirani ataonekana mchawi. Elimu ni muhimu sana kwa kweli.
   
 15. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #15
  Nov 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Siyo nzuri hata kama hataki la mama basi akamuliwe apewe. Akilete ujinga unachapa hutwo tu miguu anatia akili mwenyewe. Hivi mtoto mdogo kama huyo anaweza kuwaendesha wazazi wenye akili timamu? Nafikiri wazazi tuwe smart na determined. Excuse me guys!
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  kha! Dogo noma
   
 17. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #17
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duuu huyu dogo akikua itakuwa balaa kwenye 6x6. Shingoni naona ametundika MTAMBO wa kutungulia skadi za maadui zake.
   
 18. Tausi.

  Tausi. Senior Member

  #18
  Nov 9, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sio kwamba anawaendesha wawazi wenye akili timamu,
  huwezi jua labda hata wazazi wake
  walipitia enzi hizo, na ndio sababu unaona wanamuacha
  dogo ajinafasi kwa raha zake, Dogo wera weraaaaaaa.
   
 19. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #19
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Huu sio ushuja hata kidogo; madhara yake ni makubwa kuliko; fikiria mnyama amapige teke litue jichoni!
   
 20. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #20
  Nov 9, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,231
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  mhhhh, mi kupita tu...sasa mambo yenu yale we ulianzia kupata uzoefu ukiwa na umri huo?
   
Loading...