Ona Dogo aliesusa Ziwa la Mama Yake

Khaa!! Kweli dogo ni wazi atakua alpha male... Huo umri hata kuogopa kua huyo ni Myama.... Dah!
 
Huyu ng'ombe ugonjwa wowote wa kuambukiza kama upo, huyo dogo lazima aurithi. Well, zamani kufanya vile ilikuwa sio tatizo. Ila sasa tumeanza kuelimika, kwanini mtu anafanya mambo yenye hatari pasipo kuwa na sababu?
..Mkuu achana na Zamani, haya mambo yanatokea mpaka sasa huku kijijini kwetu. Njoo huku kijijini kwetu SITIMBI, Kata ya CHINGURUBILA, Tarafa ya BULENDABUFWE uone.
 


..Mkuu hii Avatar yako!!!! hhaa hhhaaa.
Inafaa kutishia mtotot aliegoma kunywa uji
 
Back
Top Bottom