Ona alichonifanyia huyu dada

Ona alichonifanyia huyu dada

Hahaha jamani wanaume kama wewe hakunaga atii. Yaani unakuta matongozo, unawasha moto na unaambiwa njoo chukua mkweche wako tuachane. Halafu wewe ndio unabembeleza myamalize?

Shkamoo mdogo wangu.
 
Hahaha jamani wanaume kama wewe hakunaga atii. Yaani unakuta matongozo, unawasha moto na unaambiwa njoo chukua mkweche wako tuachane. Halafu wewe ndio unabembeleza myamalize?

Shkamoo mdogo wangu.

Wapo wachache mnooooo alafu hawanaga bahati ya kupendwa
 
lukatony

Wewe kweli boya, umnunulie mwanamke gari wewe usote kwa miguu? Nafikiri umejifunzia chupi kwake na unataka kumalizia hapo! Umelishwa nyama ya pochinini? Huyo ni mama au babako umpe gari? Mungu niepushe mtoto kama huyu ntaua.
 
Last edited by a moderator:

acha ufallah,,kachkue ndinga yako mbn madem kibao tuu tena ukiwa na pila ndo ushawamaliza
 
Nilitegemea uje hapa kutoa somo baada ya kuchukua gari lako kumbe bado??? Una moyo poleeeee.
 
Kwa haraka tu ni kwamba huyo alishakuibia sana sasa ameona unaekekea kuujua ukweli hivyo anajihami, cha msingi chukua Gari yako na nikushauri kama unaweza tuma mtu akuchukulie Gari yako hiyo itakuwa umemuonyesha dharau kiasi flani atajiona -----
 
Hahaha jamani wanaume kama wewe hakunaga atii. Yaani unakuta matongozo, unawasha moto na unaambiwa njoo chukua mkweche wako tuachane. Halafu wewe ndio unabembeleza myamalize?

Shkamoo mdogo wangu.

Shangaa wewe. Mimi mwenyewe vile vivocha nilivyokuwa nakurushia natamani kuvirudisha ,bahati yako umetumia ila roho inauma.
 
Mkuu usihuzunike kabisa vizuri mungu amekuonyesha what color is that kabla ya ndoa, nenda kachukue gari lako kiroho safi kabisa siku ya kwenda usiende peke yako mtafute rafiki yako wa karibu nenda nae escort, gari ukilipata tu uza kuondosha kumbukumbu mbaya. Chukua kiasi cha fedha wapelekee wazazi kumshukuru mungu kwa kukuepusha na shari, ongezea kiasi kingine nunua gari jingine saaafi, maisha na yaendelee
 
hahahaaaaa.. mtoa mada we lazima utakua Nghosha.. siovkwa ufala huo. muachie na gari ususe kila kitu
 
Mapenz sheeeeedaaa!Duh usije ukaweka akili yako kwa mwanamke! utajipatia pressure bureeee au vidonda vya tumbo. Tupa huko Bro, hukuzaliwa nae, kashapata mwingine akaona isiwe shida. Wewe fanya yako kwa amani zote usonge mbele, maana hawa viumbe mwalimu wao ni kipofu. Atakukimbia kesho ataanza kulia ooh ningejua, ooh shetani excuse kibaooo. We chukua gari temana nae
 
Wewe kweli boya, umnunulie mwanamke gari wewe usote kwa miguu? Nafikiri umejifunzia chupi kwake na unataka kumalizia hapo! Umelishwa nyama ya pochinini? Huyo ni mama au babako umpe gari? Mungu niepushe mtoto kama huyu ntaua.

teh teh teh..mupe vidonge
 
Kwa nini hukumzalisha mapema kama kweli unampenda kufa na kupona? wanawake kama hao dawa yao ni kuwazalisha faster faster hata akikuacha hamna shida....sasa bhana...siku zote nawaambia hapa...Mwanaume lazima upanue moyo wako uwe kama jalala katika mahusiano.
 
Pole sana, tuma mtu akachukue gari yako mambo yaishe. Mbona wanawake wapo wengi sana wazuri wanatafuta wanaume? Huwaoni? Tena ukiwa na gari ndio utawapata kirahisi sana. Stand up, hatupo kwenye dunia ya kupigana kisa mapenzi, hatuko huko, tuna mengi ya kufanya.

Kama kasema hakupendi shukuru MUNGU then move forward. Huwa nasema, ningekuwa sijaoa sidhani kama kuna binti angenisumbua akaninyima usingizi tena!
 
Back
Top Bottom