Ona alichonifanyia huyu dada

Ona alichonifanyia huyu dada

Umenikumbusha msemo uliopo kwenye boda boda usisomeshe mchumba utakuja jinyonga bure
 
Ningekua wew siku iyoiyo gari ingelala kwangu Sio Watu ao ndugu tena wew una bahati sana
 
Fata mkoko wako piga chini, tafuta manzi mwingine MAPENZI ni kama kitabu, ukifunua ukurasa ukaona hauuelewi elewi funika funua mwingine usome...
 
Si amekukataa sasa unataka nini tena? Kachukue gari lako itakusaidia kupunguza hasira na kuendelea na maisha yako.

Pole, unaweza kuwa ulimpenda na yeye hakukupenda.
 
He!!!! Si bure wewe. Kuna aina nyingi za limbwata

teh teh teeh My wife to be unanichekesha :tonguez: :tonguez:..........!!
Limbwata kama uliyonipa mie...!! Yaani nakupenda mpaka nahisi moyo unataka kuchomoka.
 
Ushaambiwa hautakiwi kuchukue gari sasa apo sijui unasubir nni Mkuu shauri yako mwsho utakuta na gari yenyewe ameshaiuza Mkuu...
 
Teheee msusie gari akatanulie na dume lililokuwa linamtongoza
 
Kachukue ndinga yako kiongozi piga chini huyo mtu. Kuna madada kibao wanataka lift rod. Then unga nao kibingwa. Penzi halilazimishwi. Ukidema umedema wew nyuti
 
Muachie tuu hilo gari, mungu atakupa lingine, mbona diamond katoa murano na bado watu wamemchukulia mke
 
teh teh teeh My wife to be unanichekesha :tonguez: :tonguez:..........!!
Limbwata kama uliyonipa mie...!! Yaani nakupenda mpaka nahisi moyo unataka kuchomoka.

Aaaaaaaahhhhhaaaa ... mmmmhhhhh hii sasa ni chombeza time na wizi loooh aaaaaaahhhhaaaaa... nimechekaje miee ... Thanks..
 
Tafuta dem mkali mkaare sana, hata wa kukodi, nendeni mkachukue gari lazma atajiuliza na atarudi na akirudi mpige kiboga sepa.
 
huyo ni nyoka, kuwa mwanaume usioneshe udhaifu, nenda kachukue gari yako then futa namba yake.......
 
Kaka yangu pole dana kwa matukio yaliyokukita mdogo wangu cha maana wewe kachukue gari yako as soon as possible ikiwezekana hata leo hii .Baada ya hapo tulia kimiya muombe Mungu atakupa dada mwingine mzurina kwa mapenzi ya Mola mtaishivizuri hadi mfunge ndoa tuliza bwela wanawake wengine ni vimeo sana Pole mdogo wangu
 
Back
Top Bottom