lukatony
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 689
- 569
- Thread starter
- #61
Sikuonga bana Elli, nilimpa iwe inamsaidia kwa maana comparison ya shida ya usafiri kwake ni kubwa kulinganisha na mimi, na ndio maana siku zote nilijua kwamba haifanyi kitu na hata sasa ipo salama salimin. Kumbuka tu ni msichana graduate, ana kazi nzuri.
Na uwezo wa kununua gari anao kwa sasa. Kinachoboa ni ile hali ya kugombana (tena si kugombana, kupiga kabisa) na hili ndo limemuuma,maana ana hadhi yake by proffession and she is very beautiful then kukumwaga. Na kumbuka nilianza kazi kabla yake, so nimemsaidia vingi. Sasa anaona, ahaa umenipiga kwenda zako uko!
What I was trying to adress ni kwamba, wasichana wazuri na wenye kazi zao kamwe si wa kuwaamini, at any time wanakuyeyusha regardless umefanya nini!

Last edited by a moderator: