newmzalendo
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 1,386
- 580
Uwezo unao,unampenda na bado unadate 4yrs, kakuona boya. Kama gari kashapandishwa sana na si ajabu gari yako imetumiwa kama kwickie coach. Pole, tuma mtu ailete gari ,kawape wazazi na kama hawapo uza buy lingine.