On your valentine day

Kuwayawaya S. Kuwayawaya hayo ni mavazi yake ya kawaida daily...full red!
 
Alikuwa anasheherekea ushindi wa SIMBA na ARSENAL...........BTW hivi washabiki wa YANGA wanasheherekeaje Valentine?
 
Mkuu kwa mbali naona mtu kavaa nguo ya blue amegeukia upande mwingine katupa mgongo....naomba umsalimie
 
Mkuu kwa mbali naona mtu kavaa nguo ya blue amegeukia upande mwingine katupa mgongo....naomba umsalimie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu ni wa kumtimua kabisa na mifuko yake hiyo sijui ndo zawadi, ili siku nyingine akome kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…